Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkaa unapika vizuri kuliko gesi
IMG-20220626-WA0001.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke yoyote lazima awe na jiko la mkaa ndani kwake au kwavile we wakishua sio.
Naskia adi maharage unachemshia kwenye gesi
Nafanyia nini jiko la mkaa?? Godauni? Niliwashe? Liniue 😂😂😂 humo ndani,, akuu mwenzangu 😂😂


Maharage nachemshia kwa multi cooker au kolabo ya chupa ya chai na gas kidogo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom