Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Zee la mchongo[emoji1787]View attachment 2273342
Weekend ya kucheza na Wajukuu [emoji1635]
Habari yako[emoji2321]
Zee la mchongo[emoji1787]View attachment 2273342
Weekend ya kucheza na Wajukuu [emoji1635]
Nimesikia umepika Li pilauNajifunza jirani.
Nimesikia una mwiko
Mambo TBasi hapo vyema
Ndivyo inavyofanyika karibu duniani kote. Kuanzia walimu wa pre-K na kuendelea. Wanatakiwa wawe na angalau shahada ya kwanza katika Early Childhood Education. Sisi tulichelewa kidogo....[emoji1420][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu wa degree anatupwa kufundisha mtoto wa std 5, mie sitaki, leo nacheka tyuuh.
Oh sana tuNishaoga nipo hapa nasubiria [emoji144][emoji144]
IkoloyeNdivyo inavyofanyika karibu duniani kote. Kuanzia walimu wa pre-K na kuendelea. Wanatakiwa wawe na angalau shahada ya kwanza katika Early Childhood Education. Sisi tulichelewa kidogo....[emoji1420]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki yaan nisome kwa ki Bibi Elizabeth, afu nifundishe ki mwambao, nehiiiiiiiii.Ndivyo inavyofanyika karibu duniani kote. Kuanzia walimu wa pre-K na kuendelea. Wanatakiwa wawe na angalau shahada ya kwanza katika Early Childhood Education. Sisi tulichelewa kidogo....[emoji1420]
Hili life inabidi tu ufanye kma umekurupushwa😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viatu km umekurupushwa kwa intavoooo, lol.
Mwenyewe hapo bas unaona umetimbaa mtoko? Weraaaaah
Umeniangusha sanaa, ila we kiumbe ni mwembamba khaaa, hiyo miguu km fito bhana, usiwe unavaa bukta wallah, yaan nimeshindwa kuvumilia, nimecheka mnoooo.Hili life inabidi tu ufanye kma umekurupushwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hivo na nimevaa nguo je nikivua..Umeniangusha sanaa, ila we kiumbe ni mwembamba khaaa, hiyo miguu km fito bhana, usiwe unavaa bukta wallah, yaan nimeshindwa kuvumilia, nimecheka mnoooo.
Sasa kuku mmoja atanishinda kumaliza?Nimesikia umepika Li pilau
Na Mi kuku kama yote
Hivi ni kweli unakaa kwako
Tena mwenyewe[emoji848]
Nilikuwa naisubiri hii comment,kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viatu km umekurupushwa kwa intavoooo, lol.
Mwenyewe hapo bas unaona umetimbaa mtoko? Weraaaaah
Mchumba au mkeo anakufaidi wallah, si anakubeba yeye badala ya wee umbebe yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hivo na nimevaa nguo je nikivua..
🤣🤣Nilikuwa naisubiri hii comment,kitambo sana
Nilale sasa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ukorofi.Nilikuwa naisubiri hii comment,kitambo sana
Nilale sasa[emoji41]
Si ndo wee nasubir uanze kutetemesha uzi.Nipo shangazi fanya Mambo bas