Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220626_195520.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa status atakutana na memes na vipande vya hits song tyuuh.

Hamna shida Mimi ntaridhika na chochote ili mradi umepost wewe, Kwa picha nikioona imekaa akilini haifutiki inatosha [emoji1787]. Ngoja nisajioi numba kwa nida ntakufuata Inbox.
 
Habari kuu.

Tamisemi yatoa ajira za afya na ualimu. Walioomba ni 150k, waliopata ni 9.8k.

Watu wameliwa vichwa huko hadi hurumaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna huyo dada yeye leo ni kilio tyuuh, mbavu zangu mie.

Watu wanateseka na ajira, heri yangu mie naeambiwa sifanani na kuajiriwa au sifai kutumikia taaluma yangu, nshajipanga kisaikolojia nikimaliza nafanya mambo yangu mengine, wao sasa vilio tyuuh huko sahivi.

DJ waleteeeeeeeeeeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nafanana na ajira ya Mwalimu wa Mwandiko [emoji41]
 
Back
Top Bottom