Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Huyu mwingine ni Madam wa somo gani?Weekending!!
Huyu mwingine ni Madam wa somo gani?Weekending!!
Usijali…lakini Niko na sura ngumu..Uko na antivirus hapo maana ninauhakika uzi wa selfika utaingia virusUnambie muda na hio picha ulokua nayo ni ipi mkuu
Hapo Mtu na mamdo akeeeee!!!Huyu mwingine ni Madam wa somo gani?
Niko kipenzi..ohoooo hata mimi niliwamiss kichizi…Sante sana kipenzi... umemisika sana Selfika mamaa!!
Basi hapo vyemaNa mimi napenda kushoot , atafaa sana kuwa Model nikitaka ku practice Portraits, Etc.![]()
Sura sio muhmu mkuu muhm pichaUsijali…lakini Niko na sura ngumu..Uko na antivirus hapo maana ninauhakika uzi wa selfika utaingia virus
Niko kipenzi..ohoooo hata mimi niliwamiss kichizi…
Haya oga upendeze nakuja kuweka pundeSura sio muhmu mkuu muhm picha
Nishaoga nipo hapa nasubiriaHaya oga upendeze nakuja kuweka punde


Karibu tena na tena selfika mamy nimemiss guu naomba nibariki nilale vizuri mamy!!
😂😂 Mbona sasa hupokei 🤣Ushafika huko sokoni kwenye masweta?😂
Em nipigie video call nihakikishe
TayarNishaoga nipo hapa nasubiria![]()
Lol kuna watu mmejua kujaaliwa guu jamani uwiiiii 😘😘😘😘♥️!
Wee acha usanii🤣🤣🤣😂😂 Mbona sasa hupokei 🤣
Nimeona nimeona guu la hapa dadadeqq!!Tayar
Kumbe!Hapo Mtu na mamdo akeeeee!!!
😍😍😍Lol kuna watu mmejua kujaaliwa guu jamani uwiiiii 😘😘😘😘♥️!
Santo sana sasa naweza sinzia vizuri!!