Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Mimi bachela na jiko ninalo😁Bachelor na mijiko ya mkaa tena 😂😂 naanzia wapi…
Nyie wa nyumbani endeleeni 😁
Mimi bachela na jiko ninalo😁Bachelor na mijiko ya mkaa tena 😂😂 naanzia wapi…
Nyie wa nyumbani endeleeni 😁
Nilivyoona hiyo multicooker aki nikamkumbuka best muba mube😁😁😁😁Nafanyia nini jiko la mkaa?? Godauni? Niliwashe? Liniue 😂😂😂 humo ndani,, akuu mwenzangu 😂😂
Maharage nachemshia kwa multi cooker au kolabo ya chupa ya chai na gas kidogo 😂😂😂
Nimetamani pilau lako na kuku wa Saint Anne 😋😋Multi cooker inaingia View attachment 2273097 kuchemsha pilau 😂😂😂😂😂
Bachelor gani unaishi kwenu? 😂😂😂Mimi bachela na jiko ninalo😁
Kachukue kuku kwa Anne uje udowee na hapaNimetamani pilau lako na kuku wa Saint Anne 😋😋
Unatumia mwiko wa elfu 50Desa la silicone spoon au 😂😂
Viporo ndio mwake😂😂Wakishua viporo utaweza?
Unyama sanaa nyie wadada wawili 🤣🤣🤣😂Nilivyoona hiyo multicooker aki nikamkumbuka best muba mube😁😁😁😁
Mchele mpya mzuriBachelors tunapika anytime Lenie View attachment 2273092
Nani kama sisiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣Unyama sanaa nyie wadada wawili 🤣🤣🤣😂
😂😂😂😂😂😂Bachelor gani unaishi kwenu? 😂😂😂
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 Nimecheka sanaUnatumia mwiko wa elfu 50
Aah we ni hatariiiii
Sikukosea kuchagua shost😂😂😂
Hata sielewi yaani, ikabidi nigugo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 Nimecheka sana
Sasa ukauliza desa la nini wakati mwiko unajua mpaka bei yake 🤣🤣🤣
Juzi kati nimefika maduka flani, sio sokoni..Mchele mpya mzuri
Juzi kati nimefika maduka flani, sio sokoni..
mchele kg 2700 kwa 3000
Nikapigwa butwaa,, huo nilichukua sokoni 2500… Natamani usiniishie![]()

.Hakunaaaaa 🤣🤣😂😂😂Nani kama sisiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 ndio hivyo banaHata sielewi yaani, ikabidi nigugo🤣🤣🤣🤣