Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilivyo na bajeti aisee huo ukishua nautolea wapi .. nanunua kisamvu cha jero nakipika mara mbili
Nikirudi nakitwanga Kwanza then nakaigandisha 😂😂

ubahili huu 😂😂
😂😂😂😂 maisha haya bestie bila bajeti za hapa na pale, tutachelewa kutoboa.

Shoutout kwa bajeti akee 🔥
 
😄😄😄
IMG_20220626_182540.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya bestie bila bajeti za hapa na pale, tutachelewa kutoboa.

Shoutout kwa bajeti akee [emoji91]
Ah sahihi

Kisamvu kile wanawatwanga vibaya sokoni
Makubwa bila kupunguza aisee hakifai inabidi utwange tena .

Raha ya kula kisamvu kilainike na karanga hapo
Kwa juu .

Bajeti idumu [emoji2956]
 
Back
Top Bottom