Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
Yan acha tu, tubanie banie 🤣Duh hali mbaya
Mimi huu nautumia sasa mzuri kweli .. naomba usiishe pia [emoji23][emoji23].
Ila utaisha tu..
Yan acha tu, tubanie banie 🤣Duh hali mbaya
Mimi huu nautumia sasa mzuri kweli .. naomba usiishe pia [emoji23][emoji23].
Hahha nomaYan acha tu, tubanie banie [emoji1787]
Ila utaisha tu..
Level za juu hizo sio za kati😂😂😂😂 ndio hivyo bana
Tumiko flani, level za kati 🤣🤣
Askari gani ana tambi hivyo 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NimechekaView attachment 2273208
😂😂😂😂 tulia basiLevel za juu hizo sio za kati
Kumbuka mwiko wa bei ya chini ni buku😂😂
Kama kawaida, kuisha utaisha tu ila inabidi utulie tuucheleweshe 😂Hahha noma
Nimetoka kuupika sasa... Jioni nasonga ugali
Tubane bajeti [emoji23][emoji23]
Nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari gani ana tambi hivyo [emoji23]
Tanzania isn’t serious!
Utulie huko kwa deli [emoji23]Kama kawaida, kuisha utaisha tu ila inabidi utulie tuucheleweshe [emoji23]
Pilau limeiva? Em tuone😂😂😂😂😂 tulia basi
Na nimeshakula… nimeshibaaaPilau limeiva? Em tuone😂
Ndio ndio bachelor wa kishua 😁Utulie huko kwa deli [emoji23]
Siku nyingine unapiga zako tambi , chapati ili kubalance mambo
Hata kutukaribishaNa nimeshakula… nimeshibaaa
Now najisnap kupunguza shibe 😂😂
Nilivyo na bajeti aisee huo ukishua nautolea wapi .. nanunua kisamvu cha jero nakipika mara mbiliNdio ndio bachelor wa kishua 😁
Jirani uko vizuri kwa mambo ya jikoni..Chakula kipo cha kutosha..
Nilikuwa tayari nimeshakula kula vitu vingi.View attachment 2273039
Aisee..Chaliifrancisco dearly 😂😂😂
Nakuona unapita kwa kunyata
Abee mkuuAisee..