Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huo wimbo huwa upo, kuna time .. nikiwa sielewi, nina play unajirudia rudia.. flesh tu.. maisha ya story na story huenda kukamilisha ya mbele
Nyimbo za kitambo mpaka albums ninazo.
Nilikua na Computer ya chogo, kitambo saaana, Nilikuwa High School.
Hio nyimbo ilikuwa kwenye album yake ikiitwa sauti ya dhahabu

Albums nyingine nilkuwa nazo na zipo mpaka leo kwenye PC yangu hio na bado nzima.
-Album ya Prof Jay Machozi jasho na damu Early 2000's baada ya kuvunjika crew yao Hard Blastaz, ilikuwani bonge moja ya album mpaka leo hii.

-Kuna album ya Ferouz ikiitwa Safari, hapo kuna nyimbo kama kamanda, barua n.k

-King Crazy Gk album yake nitakupa nini mama, ikiwa na nyimbo kama hii leo, nitakufaje ilikuwa ni hatari 🔥🔥🔥

-Marehemu Albert Mangwair na album yake AKA mimi, 2003 , humo kuna madude kama She Got A Gwan, Ghetto langu, AKA mimi n.k jamaa alikuwa mbaya saaana 🔥🔥 almost nyimbo zte humo zilikuwa hits.
 
Barua " basi usimalizie kusoma, kwani ukiendelea moyo wangu utauchoma, kwa kuondokea na huyo wangu mpenzi.. moyo wangu umejawa na simanzi " 😄😄😄😄 alafu kulikuwa na Boss waliyo imba Solothang, Juma nature nafiriki na Ferouz.. zamani walikuwa wana tungo nzuri
 
IMG_20220626_132300_922.jpg

Weekend ya kucheza na Wajukuu 🥂
 
Back
Top Bottom