Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
NilipendaSaluni ya mama Kimbo naona ilikaa kiswahili mno..sikuipenda.
Hivi moyo imeishaje?
Wiki iliyopita sijafuatilia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ah sawa Mimi napenda mambo ya uswazi eeh .
Sina kingamuzi hicho dear ... Siku hiyo nilienda kwa watu ..ndo nikawa naangalia tu .


