Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nilikuwa naitafakari hii namba. 7 ni namba ya ukamilifu , hapo kuna double 7 .. uki sum hizo namba unapata 14, .. hiyo moja God ( unit ), hiyo 4 pande nne za dunia ( international level ) ukichukua hiyo 14 uki sum inakuja 5 na tano ni namba ya grace..
Asante Baba Mchungaji kwa ufafanuzi huu. Mungu na Aniwezeshe kufikia huo umri wa double blessing
 
Tuliona barua fulani yenye mwandiko wako ikatuvuruga akili mi na mpwa wangu. Mpwa alianza kulia mpaka ikabidi nimdabue kofi ili kumuweka sawa. Na tangia hapo kanywea hata raha hana.

Kwema huko lakini? Bado uko kwa Wasukuma wako au umeshaondoka zako?
Kumbe barua ndy sababu? Mwambie kijana wako arudishe moyo
 
Asante Baba Mchungaji kwa ufafanuzi huu. Mungu na Aniwezeshe kufikia huo umri wa double blessing
Mungu muaminifu, siri kubwa ya maisha marefu na hata kuingia agano la miaka unayotaka kuishi ni utoaji katika ufalme wake Mungu. Kuna reference nyingi za matoleo kumkumbusha Mungu. Swala la kuishi miaka ni swala la agano zaidi kati ya mtu na Mungu na unaweza ku seal hilo agano na sadaka.. Nakumbuka mikaa kadhaa nyuma niliweka agano la miaka 75 na ikaja kuwa confirmed na mzee mmoja nilikutana nae hanijui simjui akaja niambie hiyo hiyo age nikajua passed, mzee wangu ilikuwa 99 passed..
 
Back
Top Bottom