Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
Unasagia kunguni sio 😂😂Satoh Hirosh ya kweli haya?
Unasagia kunguni sio 😂😂Satoh Hirosh ya kweli haya?
Ahahah[emoji28]..ndy maana wale wabishi wanaamua kutumia booster wanaishia Kuga kitandani km Yule mzee wa kimara90 yrs haisimami dokta....
Huwa wanaoa kwa sababu zingine tu....
Labda kutunzwa wasije wakafa peke yao [emoji16]
View attachment 2271997
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😄😄 we me mpole sana, me mwenyewe nakopi kwako 🤣🤣
🙏❤️❤️Leo nina bahati kweli
Ahsante mzungu😍😍
Ni mda nimehengeka mpendwaUmehengeka lini?
Baba Mchungaji umemuacha wapi?
Aliprint ile barua anatembea nayo. Kila akiisoma chozi hiloo basi mi mbavu sina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwambie konfidensi muhimu asipoangalia atapinduliwa
Tichaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😘❤️❤️Aliciaaaaaaaa🥰🥰🥰
D unanisingizia ujue🤣🤣🤣🤣🤣Tichaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Leta namba yako nikutumie nauli mrembo with cute faceLenie nimecheka hadi kwikwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si umetuambia usiku mwema nikajibu nawe pia I meant nawe pia uwe na Usiku mwema!!Nimefanyaje madam 😀
Kuna na Ostaadh? [emoji15][emoji15][emoji15]Ni mda nimehengeka mpendwa
Baba mchungaji au Ostadhi [emoji2372][emoji12]
😂😂😂Si umetuambia usiku mwema nikajibu nawe pia I meant nawe pia uwe na Usiku mwema!!
Kwa hiyo sisi wengine haturusiwi kukunja nne?🤣🤣🤣Sifa ya kuweka nne lazima mguu uwe na longitude na latitude 🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Nimecheka jamani Heaven Sent
View attachment 2272014
nilikuwa naitafakari hii namba. 7 ni namba ya ukamilifu , hapo kuna double 7 .. uki sum hizo namba unapata 14, .. hiyo moja God ( unit ), hiyo 4 pande nne za dunia ( international level ) ukichukua hiyo 14 uki sum inakuja 5 na tano ni namba ya grace.. 🔥🔥🔥Desemba hii Mungu Akipenda nagonga 77. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Msamehe mkwe [emoji23]utaniulia mchumbaanguAliprint ile barua anatembea nayo. Kila akiisoma chozi hiloo basi mi mbavu sina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bila konfidensi katika dunia hii ya wababe akina Hirosh mbona kazi anayo?
Ostadh sema sio mchungaji huyo simtambuiKuna na Ostaadh? [emoji15][emoji15][emoji15]
Mtoto mbichi umehengeka lini? Na tangu lini mwanamke wa Tanga akahengeka?
Ngoja na mie nikutumie nauli uje tena huku morena.Ndioooo km katuma si manaake ananihitaji
Naenda ndio💃