Mi sijaweka picha zangu humu?Mmmh wewe huyo utume picha?
Kama wamegombana si ndio vizuri nafasi iko wazi uchangamkie tena😁Siyo kweli
Narudia tena Depal ana mtu anapendana nae sn,tena ni wa humu humu? Alafu Kwa nini kabadilisha avatar kagombana na Mzee Baba?
Afu Saulimeti hujawahi kutuma japo kucha tu humu?fanya jambo basii😀Ndiyo...Tena nimeipiga jana tu![]()
Em tuma tuoneMi sijaweka picha zangu humu?
Jamani mbona hivyo?
Mbna makasiriko sasa wew kubali mengine tutayaongeaSYB amekukabidhi kwangu wakati unampenda kijana wake.Ni ajabu..Ni upendo au amekutelekeza kwangu?


Maumivu yakizidi Sana yanatengeneza ganziWacha tu Satoh Hirosh aumie, mtoto pisi kali
Hahha okayNgoja tusubiri, labda tutaona muujiza leo
Shida uzee soulimeti. Huwa naogopa kuchekwa ila nilishawahi tena mara nyingi tu!Afu Saulimeti hujawahi kutuma japo kucha tu humu?fanya jambo basii![]()

Makande🤨Umepika nini nina njaa hadi natetema kama mayele 🥲🥲
Niandalia na uji wa dona na chumvi.. 😋Makande🤨
Hahaha haya MkuuDah!
Inagoma kuapulodi kwenye app. Mpaka nikija kujaribu kwenye browser labda![]()
Aah Salimeti siyo mzee sidhani na siamini, sijawahi ona ukiwa umeweka 🤷♂️Shida uzee soulimeti. Huwa naogopa kuchekwa ila nilishawahi tena mara nyingi tu!![]()
Unanifanya toy eehKama wamegombana si ndio vizuri nafasi iko wazi uchangamkie tena![]()
