Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mungu muaminifu, siri kubwa ya maisha marefu na hata kuingia agano la miaka unayotaka kuishi ni utoaji katika ufalme wake Mungu. Kuna reference nyingi za matoleo kumkumbusha Mungu. Swala la kuishi miaka ni swala la agano zaidi kati ya mtu na Mungu na unaweza ku seal hilo agano na sadaka.. Nakumbuka mikaa kadhaa nyuma niliweka agano la miaka 75 na ikaja kuwa confirmed na mzee mmoja nilikutana nae hanijui simjui akaja niambie hiyo hiyo age nikajua passed, mzee wangu ilikuwa 99 passed..
This is deep Baba Mchungaji.

Ubarikiwe sana
 
Asante Baba Mchungaji kwa ufafanuzi huu. Mungu na Aniwezeshe kufikia huo umri wa double blessing
Kuna case : Ezekieli , hakufunga agano la miaka, ila alimkubusha alichofanya kwa Mungu, Bwana Mungu akaona isiwe case kula hiyo 15 mingine. Kuna Walio fufuliwa kwa ajiri ya utoaji wao na Mungu kuwaongezea uhai wao hapa duniani.. ect ni kibliblia inategema na majira na wakati wa ufunuo unapokujia maana unakuwa umebeba nguvu ya udhihirisho
 
Back
Top Bottom