Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo. Miss you too.

Nakufuatilia kutoka Morogoro laivu. Nilikuona juzi hapa makamera yamekumulika nikaruka ruka kama mwanandama yaani....

Jimbo letu bado liko wazi au lishavamiwa tayari? [emoji16]
Amen
😁😁kumbe na we ulikuwa live unamfuatilia baba
Kesho anamaliza!

Jimboo ss🙈🙆🙇
Hebu ngoja kwanza😷

It seems ulipitwa pia hapa na uziii😷😂
 
Pisi ya nani hii?
Hii pisi kuna siku nilikuwa naifukuzia 😄😄, imetoka getini naifata parking, nikakuta kuna unyama mmoja hatari upo silence nisitaje gari na hata mtu, ila ni muwekezaji flani .. magoti ya kaishiwa nguvu ... 😄😄😄😄 but ni kisu hasa ukikutana uso uso kwanza pole sio ongeaji hatari...
 
Bila kusahau Mizani ya ushambenga😂😂
🤣🤣🤣 na ya walimwengu… na viroja vyao..

Nipo nacheZa haka ka singeli 😂😂

Kupendwaaa rahaaa
Jamani rahaaaa
We Lenie anaringaaa anapohisi anapendwaaa 🎶 🎤

Eeh bwana Mkunaji limemkuta pele
Sijui nn nn pamenipita 😂😂

Kama kupendwa maradhii basi mie niko hoi taabaniiii
 
Back
Top Bottom