Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dan Pol 1:2--3

Naam, ilipofika jioni akashuka akaenda zake, na alipokua njiani mara akashika simu papaso yake na kuzama JF , macho yake yakakutana na picha, akajiuliza , Je huyu si binti Sultan , Sultan yule aishie ng'ambo ya pili ya barabara, naam, ndie , nae akamsaliam, Habari yako binti sultani
 
Back
Top Bottom