Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,234
- 7,933
KaribuOoh hapo sawa! Hongera sana mkuu nimefurahi kukuona!
Ila Mimi ndiyo siwezi kuwaona , , , maana kunahitajika timing ya hali ya juu sana kuotea picha humu 😁
KaribuOoh hapo sawa! Hongera sana mkuu nimefurahi kukuona!
Uko sahihi, ukiuona uzi trending tu, kaa kimachale😆Karibu
Ila Mimi ndiyo siwezi kuwaona , , , maana kunahitajika timing ya hali ya juu sana kuotea picha humu 😁
Ni bless basi wewe hata na tbt moja hiviUko sahihi, ukiuona uzi trending tu, kaa kimachale😆
Ngoja nikuchekie ila sek 3 huikuti😎Ni bless basi wewe hata na tbt moja hivi
Nipo hapa nimetega ☺️☺️☺️Ngoja nikuchekie ila sek 3 huikuti😎
Siku nipate mwaliko wa hiyo glass
Divai hiyo karibu..😁Siku nipate mwaliko wa hiyo glass
Ndiyo mambo nayapa kipaumbele zaidi kwa sasa hivi 😁Divai hiyo karibu..😁
Kwanini sasa hivi😂Ndiyo mambo nayapa kipaumbele zaidi kwa sasa hivi 😁
Zamani ilikuwa hiyo na mbususu..... Sasa hivi monde ndiyo ninachothamini zaidi , ,, mbususu labda itokeee tu lkn siziwazi kabisaKwanini sasa hivi😂