Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Uko nayo banaPoa nikiipata tu nakufanyia mambo
Uko nayo banaPoa nikiipata tu nakufanyia mambo
Mimi siku hizi nitabaki kua mpenzi mtazamaji












Mimi siku hizi nitabaki kua mpenzi mtazamaji





Kwahiyo hata mimi huniamini pampula?
Sio kweliii
Mie kibonge halafu cheusi mangala.
Ooooh!! Nilitaka nishangae.Wewe hadi nakumis naacha je kukuamini sasa![]()
Auntie bado upo?Sio kweliii
We mganga upo katikati ya barabara ama?!
Nipo auntie wangu jamaani!!Auntie bado upo?
Yeeeelewiiii....
Upepo wa kisulisuli ukupitie mbaliHi everybody View attachment 1254003
@ArIeN nakuona tu mkuuNakusihi sana dada mpendwa siku ukiweka ya uso wako full Kama sipo online naomba niikute hata pm tu kwa kweli



😂 😂 😂 nipo nipo mkuu@ArIeN nakuona tu mkuu![]()
Kuna visu humu...mmmh too good to be true!!!