Nakazia 😂😂😂Hapa picha zinakaa temporary ukichelewa utaona manyoya tuuu....


Ulianza kusinzia ukatiwa chaji
Hapa ni usicheze mbali unga robo, haya nitakutumiaUjue uzi unanichosha hapo why huwa mnafuta picha Wapendwa naomba nitumie piemuni.
Kuwa na huruma mpendwa,basi nimekubali ntaliacha mpaka kesho muoshaji alioshe.Haya nimeacha, ila kwa kuwa ulikula mwenyewe basi na vyombo vyako uoshe mwenyewe 💃
Woyooo, finally 😍😍😍🔥🔥
umeshaiona niifute?Abee
Hahaha unalazaje sufuria moja?Kuwa na huruma mpendwa,basi nimekubali ntaliacha mpaka kesho muoshaji alioshe.
Wee iko wapi? Emu nitagpoumeshaiona niifute?
Muone... Ulikuwa unatubania nini sasa... Kumbe safi kabisa bana![]()
si hapo hapo nilipo ku CcWee iko wapi? Emu nitagpo

Za kwako zinanipita sana etiiWoyooo, finally
Team short hair![]()
Acha kabisa, hadi jasho 😂Kwa mbinde mno
Acha kabisa, hadi jasho 😂Kwa mbinde mno