DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Eee ndiooooKwa matumizi ya baadae
Eee ndiooooKwa matumizi ya baadae
Nimesema tu mkuu, reputation matters a lot. Huyu member sijawahi hata kuona akiwa active, amekuja mahsusi kutuonyesha alivyo mtammbona kina Sakayo ni visu hatari na hatuhoji
![]()
Duu kwa hyo huyo dada hapo ana watoto watatu?
Kaniacha baada ya kumtoa kimaisha
Mimi ni Mama wa watoto watatu, kabla ya kuoana na mume wangu nilikua na mwaaume mwingine ambaye tulikaa kwenye ndoa kwa miaka sita akafariki dunia, mimi nimemzidi mume wangu miaka mitatu, kabla ya kuoana tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi sita, nilipoona nazidini nikaamua nimuambie kuwa anioe...www.jamiiforums.com
Asieee kabla sijashusha comment ngoja nidhibitishe kuwa huyu siyo msubhati kaja kivingine, yule sitamsahau kanidpndoshea mabusu na makopa kopa kumbe dume
@ArIeN nakuona tu mkuu![]()
Mimi siku hizi nitabaki kua mpenzi mtazamaji
Ingizo jipya....
Nimekujaaa...ila mmmmh too good to be real

😂😂😂 wanamwaribia mwenzao mahesabu yake
Ulivyoyaqoute sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuanze na bible study online mkuu au unasemaje ?Basi jumapili naomba unipeleke.

Nipo post 21128.
Nitafika huko mbele acha nianze kutazama uumbaji!
Ndo nini hichooKiu ya Smirnoff rafiki...
Huyu ndiye mmiliki wa huo msambwanda wa kwenye avatar ?Hi everybody View attachment 1254003
UsijaliUkuje na mahela mengi
Zingine wanafutaHakika Nimeimaliza Shughuli Kwa Leo.
Kwa Haraka Haraka post 21128 hadi 22674.
Selfie 9 tu.
22674 - 21128 = 1546 post
Post per selfie rate = 1546 ÷ 9
= 171.77777777779
Approximately = 172 posts per selfie.
Kuna selfie 1 katika post 172.
Au watu mnafuta????
Tafadhali naomba tag kila ua linaposelfika ndugu zangu.
Ni dada kweli ndio wale jamaa zetu wanaovaa uhusika ?Daaàaaa
Jaribu kufukua fukua mkuu. Hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye guniaIngizo jipya....
Kaniacha baada ya kumtoa kimaisha
Mimi ni Mama wa watoto watatu, kabla ya kuoana na mume wangu nilikua na mwaaume mwingine ambaye tulikaa kwenye ndoa kwa miaka sita akafariki dunia, mimi nimemzidi mume wangu miaka mitatu, kabla ya kuoana tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi sita, nilipoona nazidini nikaamua nimuambie kuwa anioe...www.jamiiforums.com
Zingine wanafuta
Hakika Nimeimaliza Shughuli Kwa Leo.
Kwa Haraka Haraka post 21128 hadi 22674.
Selfie 9 tu.
22674 - 21128 = 1546 post
Post per selfie rate = 1546 ÷ 9
= 171.77777777779
Approximately = 172 posts per selfie.
Kuna selfie 1 katika post 172.
Au watu mnafuta????
Tafadhali naomba tag kila ua linaposelfika ndugu zangu.

Umenikumbusha miss natafuta na generali mangiTukio la mshubate lilinitoa kwenye huu uzi automatically![]()