Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiherehere kinaitwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu aliagiza hivi we unafanya vile..
Acha niwe nacho tu aisee[emoji1787],,Tena nakuwa kama zoba .
"Oh Anne tunaelewana pale?
Ndiyo Mzee"(Kwa sauti ya Prof J)
Kumpenda mtu anayekupenda ni bahati.


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,
Anayekupenda anakutafuta wewe habari huna!


Rarely kupata waliobalance..yaani mtu anakupenda na wewe unampenda [emoji3590]
Ikitokea hii aiseee ni[emoji91]
Tunaimba tu pambio za Hallelujah Hosana.
[emoji23][emoji23] haipo hiyooo. We ukipenda tegemea maumivu na ukipendwa mwenzio ategemee maumivu. Lbd uamue kubadilika, umpende tu hivyo hivyo.
 
Badooo, mbna mtatafutana humu ndani? Kwa hili Vazi? Km suo kutapika bas mtaharishaaaaah. Weraaaaaaaaaah weraaaaaah
Badooo, mbna mtatafutana humu ndani? Kwa hili Vazi? Km suo kutapika bas mtaharishaaaaah. Weraaaaaaaaaah weraaaaaah
Hhahaha!! Eagerly waiting shos hio siku usiache kunitag !!
 
Back
Top Bottom