Unaumwa vidonda vya tumbo umesema amekutajia possible matibabu (dawa) na route zake pantoprazole inachomwa IV (intravenously) mshipa na hio ya maumivu inachomwa kwenye msuli (tako) au Iv
Anakudanganya nimekutumia mzigo sasa , anakupa link ya kutrack mzigo umefikia wapi na unasema ulipofika
.. ukifika bongo unashangaa umepigia simu na kuambia mzigo umekutwa na hela and it is ilegal kusafirisha hela wanakuambia tuma hela ili nikutolee mzigo hu hapa airport .. uongo mtupu
Wapopo hawa wanajifanya wazungu sasa