Ah waongo sana
Wanadanganya vibaya
Nilingia LinkedIn kwa mara ya kwanza .. kule it's a professional network wamejazana mule .. wakiona account tu mpya hao wanakujia na utapeli .
Mahusiano ni kitu kinachohitaji mlengo na si bla bla tu. Kutamani mtu mwengine hiyo hutokana na km ulimpendea kitu mtu wako. Hukumpenda yeye km yeye. Na ndo mwanzo wa usaliti huo