Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1655445496499.jpg
 
Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,
Anayekupenda anakutafuta wewe habari huna!


Rarely kupata waliobalance..yaani mtu anakupenda na wewe unampenda [emoji3590]
Ikitokea hii aiseee ni[emoji91]
Tunaimba tu pambio za Hallelujah Hosana.
Hamjaumbiwa kupenda, nyie endeleeni tu kufanya yasiyotakiwa..
 
Back
Top Bottom