Wewe unanifahamu vizuri kabisa boss na wewe unataka selfie?Duh Mr. Vocha balaa
Sekunde ngapi sijui
Wewe unanifahamu vizuri kabisa boss na wewe unataka selfie?Duh Mr. Vocha balaa
Sekunde ngapi sijui
Ni fyaaa dakika sifuri kashayeyuka nayo kha!Duh Mr. Vocha balaa
Sekunde ngapi sijui
Mtoto tarcle tarcleShougaaaaa anguuuu huyu, tonniah babeeeeh
![]()
😂😂😂😂Niwacheeeeeeee naweee,
Mda wangu wa kudangaaa huu.
HeheheheIla huyu mwamba anatamanisha mnooo kwa matumizi.
![]()

Weraaaaaah mbna ntaolewa soon, owa pishi hilo akuuuuh.
Watu watagala gala kwa tiles.![]()
Kairukinilienda kumuona gynacologist mmoja mdogo alafu mzuriii




km ni Kairuki hebu nikae kimyaa mie, nisiseme sanaaaaah, nitafukiwa chini niko hoi mnooo mie. Yes, ni bora uwe na anayekupenda kuliko unayempenda wewe... Mimi Bora nipendwe kuliko kupenda.Tatizo wanawake huwa tunahangaika na tunaowapenda badala tushikilie kwa wanaotupenda.
Dunia haina usawa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Rafiki habari za siku mingiAaah nakuona tu madam!
Yes Mr .Vocha ,Wewe unanifahamu vizuri kabisa boss na wewe unataka selfie?
Nidangie mimi😅Niwacheeeeeeee naweee,
Mda wangu wa kudangaaa huu.
Wee unasubir photozzz? Sema kweli?Ulisema utatupia weekend shos fanya kunibless nilale vizuri mie![]()
Mmh nani tena?Nunu nunu nunu nunuu
Nunu unammnunia nani nunuuu
Tafuta mume umnunie nunu 😂😂🤣🤣🤣🤣
Heaven Sent
Sasa tulale.. kesho nayo ni siku ya kuona mtu linavyomshukaaa..
Ewaaaa💕💕💕💕Nimeiokotaaa 🤓View attachment 2265214
Mama Maiko 😆😆😆Mmh nani tena?
Nikajua unaimba kinyaki "Kyala nnunu"
Noma sana!!Nimeiokotaaa 🤓View attachment 2265214
km ni Kairuki hebu nikae kimyaa mie, nisiseme sanaaaaah, nitafukiwa chini niko hoi mnooo mie.
Woiiiiiiiih.

Mimi nafanya vyote.Endeleeni kutii, upendo tuachieni sisi.