Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
SahihiNilichogundua kwenye mahusiano mwanaume akipenda kweli na mwanamke akajua kupendwa akaenda sawa na mwanaume wanafika mbali kinyume na hapo jiandae machozi

SahihiNilichogundua kwenye mahusiano mwanaume akipenda kweli na mwanamke akajua kupendwa akaenda sawa na mwanaume wanafika mbali kinyume na hapo jiandae machozi

Ndivyo inavyokuwa Kwa wengi wetu.Abeeee
Ni kula tu😂.Ukipika boko yeye hana habari![]()
Uzuri kila mada inajadilika tu 🤣Hahaha hii ndo selfika tunaswitch tu![]()
Aiseee!!
Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,Shida ndio inaanzia hapa, em tubadilike
Amen....Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,
Anayekupenda anakutafuta wewe habari huna!
Rarely kupata waliobalance..yaani mtu anakupenda na wewe unampenda ❤️
Ikitokea hii aiseee ni🔥
Tunaimba tu pambio za Hallelujah Hosana.
😂Amen....
Day dreaming ain't bad,, the problem is what are u dreaming about,, wewe huruhusiwi daydreaming about love and stuffs. After all uko paired like stable electronsYeah why not
Sio issue hizo lakini hapa stori tu
Daydreaming not only boosts your creativity and problem-solving skills, but it also helps you concentrate and focus on a specific task. It helps your mind wander to thoughts and areas that it might not wander if you had not set aside time for daydreaming .
Mara nyingi walio Reception ndio wanazingua, huko ndani wengi wao wako Poa.Ah inakera sana
Mtu unaanza kuudhiwa kwanzia reception
Vizuri dear relax you will be okay!Now naendelea vizuri dear, atleast Nina kahaueni
Kweli, ukimpata mtu mnapendana ile kisawa sawa ni jambo la kushukuru Mungu.Unayempenda anakupiga matukio huko hadi akili inakuruka,
Anayekupenda anakutafuta wewe habari huna!
Rarely kupata waliobalance..yaani mtu anakupenda na wewe unampenda
Ikitokea hii aiseee ni
Tunaimba tu pambio za Hallelujah Hosana.
Make it workKweli, ukimpata mtu mnapendana ile kisawa sawa ni jambo la kushukuru Mungu.
Aiyaaa upajaaaa nitaoa kweli
Unaendeleaje nkamu?Heshima yako mama mchungaji