Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Nitumie picha nione sura yako ya kigonjwa[emoji2]
Nitumie picha nione sura yako ya kigonjwa[emoji2]
Nilichogundua kwenye mahusiano mwanaume akipenda kweli na mwanamke akajua kupendwa akaenda sawa na mwanaume wanafika mbali kinyume na hapo jiandae machoziKisangaaa,,, sema akupende sio ww umpende labda.
[emoji23][emoji23] umetishaMimi sjui kupika so ntakaemuoa hana shida ya kujua kupika sababu ata kitu kibichi sikitambui
Safi sana[emoji1635]Mimi sjui kupika so ntakaemuoa hana shida ya kujua kupika sababu ata kitu kibichi sikitambui
Tatizo wanawake huwa tunahangaika na tunaowapenda badala tushikilie kwa wanaotupenda.Nilichogundua kwenye mahusiano mwanaume akipenda kweli na mwanamke akajua kupendwa akaenda sawa na mwanaume wanafika mbali kinyume na hapo jiandae machozi
EwaaaSafi sana[emoji1635]
Kikubwa chumvi isizidi[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
AbeeeeTatizo wanawake huwa tunahangaika na tunaowapenda badala tushikilie kwa wanaotupenda.
Dunia haina usawa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sisi ndo wale hata kama nmekuchoka kukuacha siwez nawaza ntakula wapi[emoji23][emoji23] umetisha
Shida ndio inaanzia hapa, em tubadilikeTatizo wanawake huwa tunahangaika na tunaowapenda badala tushikilie kwa wanaotupenda.
Dunia haina usawa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sipo huko [emoji23]Which department [emoji16]
Yeah nursing imekaa hivyoNa hili ndiyo tatizo
Usitubafilishie mada tunachukua notes hapaMlimaliza afya, mkaja mapishi, naona sahivi mko kwa mapenzi…
😹😹😹
Safiiii
SawaUsitubafilishie mada tunachukua notes hapa
Heshima yako mama mchungajiAbeeee
Yeah why notCome on t [emoji23][emoji23],, really daydreaming??
Yes dearUpo sio uongo. Na nimeushughudia. Ila Kwa wachache
Hahaha hii ndo selfika tunaswitch tu [emoji23][emoji23][emoji23]Mlimaliza afya, mkaja mapishi, naona sahivi mko kwa mapenzi…
[emoji81][emoji81][emoji81]
Safiiii
Ukipika boko yeye hana habari [emoji23]Safi sana[emoji1635]
Kikubwa chumvi isizidi[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app