Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
always dramatic[emoji23] [emoji23]Girls[emoji16][emoji16]
always dramatic[emoji23] [emoji23]Girls[emoji16][emoji16]
Huwezi kuwa na sympathy na client,, thn bado unamtamani,, ni muda wa waalimu kuacha kutumia kauli ya "soma sana mapenzi utayafanya chuo"Na wanafanya kazi mazingira yana vishawishi kama hujielew ndio basi tena
Yeah true love ipooo. Tena ni Raha asikwambie mtu. Hasa ukipendwa dear. Halafu ajue na kupika Sasa then asione shida yeye kuingia kupika[emoji1]. Mana Kuna wale nipike ww wafanya nini? [emoji1787][emoji1787]Wapo wanaopenda ila wachache
Unadeka na kudeka tena [emoji23][emoji23]
True love exists
Yeah, mazingira yao ni magumu. Ukiwa mzembe utakula wagonjwa wote. Ingawa ni kinyume na Sheria zao.Na wanafanya kazi mazingira yana vishawishi kama hujielew ndio basi tena
Sometimes you just don't know even where to start [emoji1787][emoji1787]always dramatic[emoji23] [emoji23]
Indeed love is beautiful thingYeah true love ipooo. Tena ni Raha asikwambie mtu. Hasa ukipendwa dear. Halafu ajue na kupika Sasa then asione shida yeye kuingia kupika[emoji1]. Mana Kuna wale nipike ww wafanya nini? [emoji1787][emoji1787]
Wee ulisema sio dr, au wa mchongo?Muwe mnasema mapema wengine ni madokta wa kujitegemea Ila natibu usiku tu
Sijakataa, muhimu mnoooo. Maana bila wao tungeponaje Sasa. Ila tatizo lao kutamani tamani[emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawaa,, ila ni watu wa muhimu sana kwenye jamii
God created us this way and it's amazing right ?Sometimes you just don't know even where to start [emoji1787][emoji1787]
Na wanajua ni kinyume lkn wale wasioweza kujizuia ni wanalamba warembo si mchezo.Yeah, mazingira yao ni magumu. Ukiwa mzembe utakula wagonjwa wote. Ingawa ni kinyume na Sheria zao.
[emoji1787][emoji1787] Bora ukutane na nesi wa kiume. Huduma ikitolewa na mwanaume inakuwa perfect.Ah inakera sana
Mtu unaanza kuudhiwa kwanzia reception
Ukipata bwana wa hivi unatuliaa tuliiiYeah true love ipooo. Tena ni Raha asikwambie mtu. Hasa ukipendwa dear. Halafu ajue na kupika Sasa then asione shida yeye kuingia kupika[emoji1]. Mana Kuna wale nipike ww wafanya nini? [emoji1787][emoji1787]
Dr wa wanawake tu Ila natibu usikuWee ulisema sio dr, au wa mchongo?
Yeeeh sometimes it's amazing,,God created us this way and it's amazing right ?
Let us embrace it [emoji23][emoji23]
Ohooo Kwa hiyo,,,dozi nipewe usiku tu? [emoji16]Muwe mnasema mapema wengine ni madokta wa kujitegemea Ila natibu usiku tu
Wa hvo tumebaki 3 tu tanzaniaUkipata bwana wa hivi unatuliaa tuliii
Sema kufanya kazi hospital raha sana , the work itself is amazing .. you get time to meet new people , hear different stories , gossip as usual and sad times pia .Sijakataa, muhimu mnoooo. Maana bila wao tungeponaje Sasa. Ila tatizo lao kutamani tamani[emoji23].
Don't you see all my reactions?? . Tell me it is Impossible.Ni ka diclofenac nini 😁ndio uwa wanakataa kwenye mshipa.. ni tako au ufunue paja…
[emoji1787] anhaa sawaDr wa wanawake tu Ila natibu usiku
Yeah sure huduma nzuri ..kumbuka law of magnet[emoji1787][emoji1787] Bora ukutane na nesi wa kiume. Huduma ikitolewa na mwanaume inakuwa perfect.