Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
yeah reception huwa wanazinguaMara nyingi walio Reception ndio wanazingua, huko ndani wengi wao wako Poa.
Sema kuna wagonjwa wanakera acha wawajibu ovyo tu .. mtu unamuliza maswali yeye anashangaa hapo kuna watu kama 50 inatakiwa uwasajili kwenye system .


wewe ushalewa nini?

