Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hio 50 kwa 50, sasa ombeni na mechi walimu netball, uingie kati pale, hio mechi nitakopa hata nauli.
 
Netball tulifungwa 15 kwa 9 ila tukalipiza kwenye football
Wao Advance ni girls tupu na wanajua netball sio kitoto nasie advance ni boys tupu Vijana tunawapa mazoezi ya football kutosha so walau tulibalance ushungu!!
bas jana mngeweka na music ili wapunguze ukameee.
Maisha ya boarding bhana lol.
 
Mimi niliwahi kupiga x-ray ya kifua..Dah yule Kaka alinichungulia kifua changu
Mweee..anakuja kuniweka kile kibao vizuri ,
Akiyanani..ikabidi nijikaze tu kuchunguliwa
Hahaha noma
Nikienda hospital nahakikisha nimevaa sketi na blouse /suruali .

Nilipiga pia x-ray ya tumbo .. nimejivalisha gauni langu aisee nikalie pale juu ipige picha nilisemwa na hao nurse walikuwa wawili ndani ya chumba .
Nilikuwa mdogo sana hata basi woga umejaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…