cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,998
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko mahospitalini kumbe kuna vihoja eeeeeh. Mbavu zangu mie.Hahah ...mimi siku moja hivohivo
bana kwenyee x ray ya hapa kwenye nyonga bana sijui ndio dokta wa x ray yuko anataka kufanya taaluma yake nimelala pale kitandani akaanza kunishika huku juu kifuani alihisi shida yangu ya kifua nikamwambia hapana dokta sio huku ni hapa dokta!!
Yani ananiangalia hio x ray huku namuona kabisaaaaa kadindisha imevimba vibaya weeeeeeeehhh niliogopa sana !!