Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,308
Umeanza hio tabia yakutoshtuana lini lakini katibu 🙄🙄!!!🤔🤔Nipo mwenyekiti, nahudhuria vikao sema napita kimya kimya!!
Haya niandalie kifungashio changu leo naondoka nacho mapemaaaa
Umeanza hio tabia yakutoshtuana lini lakini katibu 🙄🙄!!!🤔🤔Nipo mwenyekiti, nahudhuria vikao sema napita kimya kimya!!
Kazi za field huwa zina haribu ratiba nyingi. Ilifikia mahala hadi mtu akaenda kwa client kuni kaanga sitembelei site na wala huwa sikai site 😃😃😃.. Client nikamuambia mpeni kazi mwingine, wakaona mchakato mrefu ikabidi watiiNidhamu tu mkuu.
Nina uzoefu na haya makitu kuna kipindi niliwahi kwenda viral kwa hizo kazi.
Sema na kazi za field nazo zilijileta hivyo pakawa na mgongano wa ratiba nikaegemea field zaidi kwani nayo ilikuwa inalipa sana.
Kauli mbiu ya spidernyoka hio shos sio mimi!😉khaaaah ntakubonda vibaya wee
Umejitahidi bhanaaaaa.Huwa nachoka kukaa.
Nilitaka kumwita fundi wangu,ila nikawaza kuanza kukaa nisukwe ni msala.
Nikaona nijiboronge tu mwenyewe.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yap mdogo mdogo nahama field najikita huku zaidi na nimwongeza muda wa kazi..zaidi usiku kama huu ndio haswa nazifanya.😃😃😃😃 Hili ni neno. Kila la kheri mkuu, mambo ya kulambana lambana miguu sio kabisa. Mie nimejikita sana kwenye tech kuliko miradi.. kuna miradi sehemu nilikuwa naipiga chini ila client wamehaha imebidi nimalizie ila hela yote nimeingiza kwenye Techn.. sasa hivi nimekaa kama kolo ila nauona mwanga baada ya miezi sita
Haha halafu wateja flani wako kama mazombie...haya nimwkutana nayo sana, mie akinizingua kwa upole namuaga lazima anitafute tena.Kazi za field huwa zina haribu ratiba nyingi. Ilifikia mahala hadi mtu akaenda kwa client kuni kaanga sitembelei site na wala huwa sikai site 😃😃😃.. Client nikamuambia mpeni kazi mwingine, wakaona mchakato mrefu ikabidi watii
Safi sana.. Kila lakheri mkuu. Ukiweza apply RM vizuri, game ni lako na ukikaa kwa miezi minne au sita mfululizo umetoka mzee.. kinacho fanya mambo yawe mazito ni watu kushindwa kaa mda mrefu sokoni kwasababu ya poor RM skillsYap mdogo mdogo nahama field najikita huku zaidi na nimwongeza muda wa kazi..zaidi usiku kama huu ndio haswa nazifanya.
Uzuri hazinibani zaidi zinahitaji kupiga jicho kila wakati na analysis zaidi
Mie niliwajibu nilikuwa nimeisha wachoka 😃😃 na ni kama walikuwa wamenisomaHaha halafu wateja flani wako kama mazombie...haya nimwkutana nayo sana, mie akinizingua kwa upole namuaga lazima anitafute tena.
Nina miaka 9 mzee baba, nina matunda ya kutosha.Safi sana.. Kila lakheri mkuu. Ukiweza apply RM vizuri, game ni lako na ukikaa kwa miezi minne au sita mfululizo umetoka mzee.. kinacho fanya mambo yawe mazito ni watu kushindwa kaa mda mrefu sokoni kwasababu ya poor RM skills
Weraaaaaah weraaaaaaahpole sana shos akeee hauna kapicha ka overall hapo nisinzie Vizuri shos angu!??






kwa 9 years , upo na uzoefu wa kutosha. Greedy for newbie 😃😃😃😃Nina miaka 9 mzee baba, nina matunda ya kutosha.
Nikifeli labda greedy iniangushe otherwise sijisifu niko vizuri
Haha oga kwanza ndio utasinzia vizuri shos!!!Weraaaaaah weraaaaaaah
Afu nna ubuyuuu pambeee wa site,
Ntakupa nikitulia, nimechoka mwenzio, yaan hata siogi, kwan silali na mtu,. Woiiiiiih
Kuna wakati hata pro anajaribiwa, unakuta kitu inateleza tu hadi unajisahau unaona itaendelea kutema..ghafla moto unawaka🤣🤣🤣kwa 9 years , upo na uzoefu wa kutosha. Greedy for newbie 😃😃😃😃