Hustler one
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 507
- 1,339
Zote za zamani sina mpya mwenyekiti!!Umeanza hio tabia yakutoshtuana lini lakini katibu 🙄🙄!!!🤔🤔
Haya niandalie kifungashio changu leo naondoka nacho mapemaaaa
Zote za zamani sina mpya mwenyekiti!!Umeanza hio tabia yakutoshtuana lini lakini katibu 🙄🙄!!!🤔🤔
Haya niandalie kifungashio changu leo naondoka nacho mapemaaaa
Unaachaje kupiga wee photogenic naweeh!!🤔🤔🤔Nimekuambia nilipiga picha kwan? Utulie kwan nawee. Lol.
Poapoa katibu Kesho nayo ni siku 😘✌️✌️✌️!!Zote za zamani sina mpya mwenyekiti!!
Kinyoonge mwanangu jamn poleeeU
Unaachaje kupiga wee photogenic naweeh!!🤔🤔🤔
nikalale sasa have a good night shos!!😘🚶🏼♀️🚶🏼♀️✋🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Usiku uwe mzuri kwako pia!!Poapoa katibu Kesho nayo ni siku 😘✌️✌️✌️!!
Ulale unono katibu!🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️😴😴
Yanii sijaona selfii ya Shos angu nitalala vibaya kweli leo!!😌😌Kinyoonge mwanangu jamn poleee
Nimewahi kuwa natumiwa tu hela ghaflaghafla kwenye simu licha ya kuwa namzidi kipato, mara 10K ya vocha mara utakunywa soda bila hata kuomba na wala yeye haombi, aiseeh ilifikia hatua unatumia ila unaona aibu..Basi ikawa ni kuviziana na kila mmoja anatuma tu akijisikia. Yule mwanamke alikuwa ananipenda bwana.mwanaume pekee anapaswa kumtunza mwanamke, au mwanaume pia anapaswa kutunzwa na mwanamke?
.Imenipita hii bwanaKuna watu wanafaidi nyie raha ya mwanamke tako

Naona nzuri nikuwa na standard za kiuchumi harisi. kwa mfano kwa hata ukiwa unatengeza 5% au 2.5% ya investment poa kabisa. Hapa itategemea kuna mzigo kiasi gani. kama una $ 10,000 maana yake 5% yake ni $ 500 ambayo ni rahisi sana kuipata kwa huo mtaji hata kama utatengeza kwa wiki $ 2000 sio mbaya kwa uchumi wa kitanzania .. shida inaanzaga mtu anataka mzigo mzito.. kwa sasa hivi napambana kwa siku $ 250. Risk inakuwa ndogo sana kwa siku hiyo hela kwa uchumi wetu ni nyingi sanaKuna wakati hata pro anajaribiwa, unakuta kitu inateleza tu hadi unajisahau unaona itaendelea kutema..ghafla moto unawaka🤣🤣🤣
Kuna siku nilipiga $1,800 kimchezo
Ntakupaaaa shougaaa angu, wee tenaaa. Hallowwwwww!!!!Haha oga kwanza ndio utasinzia vizuri shos!!!
Poa ubuyu utanipa kesho shouss!![]()
Nina jam la Usingizi balaa!!Ntakupaaaa shougaaa angu, wee tenaaa. Hallowwwwww!!!!
Nilikua buzzy na kazi,U
Unaachaje kupiga wee photogenic naweeh!!
nikalale sasa have a good night shos!!![]()




lovedlove you more sweetheart 😘♥️😘Nilikua buzzy na kazi,
Ulale salama. Mwenyewe nataka niliangushe hapa.
Love u shougaaaah angu.loved
Uko sahihi sana...nafikiri std nzuri kwa hii kazi ni 20% ya mtaji.Naona nzuri nikuwa na standard za kiuchumi harisi. kwa mfano kwa hata ukiwa unatengeza 5% au 2.5% ya investment poa kabisa. Hapa itategemea kuna mzigo kiasi gani. kama una $ 10,000 maana yake 5% yake ni $ 500 ambayo ni rahisi sana kuipata kwa huo mtaji hata kama utatengeza kwa wiki $ 2000 sio mbaya kwa uchumi wa kitanzania .. shida inaanzaga mtu anataka mzigo mzito.. kwa sasa hivi napambana kwa siku $ 250. Risk inakuwa ndogo sana kwa siku hiyo hela kwa uchumi wetu ni nyingi sana
Wee name umeshindaje leo? Afu hujanionesha nywele bhana.Nina jam la Usingizi balaa!!
Unalalaje mapema hivi?Nina jam la Usingizi balaa!!