myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Nimefurahia kitu jirani...hongeraNambie jiranii!!
Nimefurahia kitu jirani...hongeraNambie jiranii!!
Soon nakutag mkuu😂financial services nibariki na moja hawa bus driver wangu
Tulia mkuu verysoon mafuriko ya pesa mtaani usihofu😃😃😃 Sema kipindi hiki ramani hazina North wala South.. ukisema unachoma mafuta kila siku.. lazima roho ikuume. Haya mambo ya nyakati zake..
NasubiriSoon nakutag mkuu😂
Wewe huyu huyu?Soon nakutag mkuu😂
Weee nilikuita Mpaka basi yani!!Nishaweka sana ujue sema juzikati ulipotea mdogo wangu!Namba 9 had leo
Majukum mkemiaa niwekee basi hapa saivWeee nilikuita Mpaka basi yani!!Nishaweka sana ujue sema juzikati ulipotea mdogo wangu!
😃😃😃😃 mafuriko yatokee wapi aisee.. ni kukaza tu.. Kila system inapoingia madarakani kwenye nchi yetu hasa mambo hupalanganyika.. huchukua mda kidogo kwenda na beatTulia mkuu verysoon mafuriko ya pesa mtaani usihofu
Strawbella@Strawbella Alayna wherayuuuu????! come this way pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
The beautiful Tonnia, hapo ni saloon bila shaka
💃💃🙏🙏🙏🙏😘Lips and eyes marvelous
Yes una wasiwasi kwani? 😛Wewe huyu huyu?
Inategemea sector yako mkuu😃😃😃😃 mafuriko yatokee wapi aisee.. ni kukaza tu.. Kila system inapoingia madarakani kwenye nchi yetu hasa mambo hupalanganyika.. huchukua mda kidogo kwenda na beat
Yes mamy nilikua nasuka hapo!!The beautiful Tonnia, hapo ni saloon bila shaka
Ok nice😘Yes mamy nilikua nasuka hapo!!
Unitag nione uumbaji totooYes una wasiwasi kwani? 😛
Doh unajua simu yangu juzikati ilizingua kweli sijui kama ipoMajukum mkemiaa niwekee basi hapa saiv
Mmmh sawaDoh unajua simu yangu juzikati ilizingua kweli sijui kama ipo
Acha tuone, kama system ita tu accept au ita tu reject 😃😃😃..Inategemea sector yako mkuu