Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,216
- 183,061
Mamdo kwakweli wakupe vocha asee!!🤣🤣🤣
Mamdo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamdo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madam niko kamili gado sasaHahahh kwani Mjep hajapona tu jamani atupee vocha huyu mtu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Nakuambia ukweli...usipojifunza kuingiza pesa ukiwa umelala utajiuza mkuu🤣🤣🤣Dah! Ebu acha niamke nizisake hela.. hii kauli imepiga mahala 😃😃😃😃
Acha tu, Pesa ipo kwenye Tech, hata sasa hivi napambana sana kutoka kwenye sector hiyo.. kazi zinakuwa za mda mrefu unachoka tu.. ila kazi za Tech ni chap.. hasa kama unakuwa na Tech unawauzia watu services unakula pesa yako bila kukwaruzana na watuKuna haja sana pia kuwekeza kidijitali mkuu, huku tuendako ni pazito sana.
Matajiri wanabadilika.
Utajiri wa bidhaa na ujinga ujinga huo unaanza kitupwa na muda.
Hakuna hata selfii za maana mr Vocha zahovyo tu!Madam niko kamili gado sasa
Ila nimekosa selfie zako hapa ugonjwa unataka kuanza tena....
Shougaaaa angu mic u moaaaah, leo nilienda site,cocastic shos unaswampia wapi nimekumis mie!!!
Nafurahi kusikia uko vyedi bosi vocha!! 😘😘Madam niko kamili gado sasa
Ila nimekosa selfie zako hapa ugonjwa unataka kuanza tena....
Ebu tuone hilo overall.......!Shougaaaa angu mic u moaaaah, leo nilienda site,
Chezea practical weyeeeeh, nilikua ndani ya overall, sitaki tabuu miee fundi mtambo wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechoka hataree hapa.
Hebu nione kwani. Shougaaaah.
Ninawaza kuhamishia ofisi nyumbani.Acha tu, Pesa ipo kwenye Tech, hata sasa hivi napambana sana kutoka kwenye sector hiyo.. kazi zinakuwa za mda mrefu unachoka tu.. ila kazi za Tech ni chap.. hasa kama unakuwa na Tech unawauzia watu services unakula pesa yako bila kukwaruzana na watu
😃😃😃😃😃😃 Hela ya kulala inahitaji akili tu, nimefanya hizi kazi za mfumo huu.. ni nzuri sana, ila zimahitaji nidhamu ku grow.. risk ni nyingi sanaNakuambia ukweli...usipojifunza kuingiza pesa ukiwa umelala utajiuza mkuu🤣🤣🤣
Huoni wanaume wanasaka wanawake waliofanikiwa waolewe?
Tupambane mkuu mwanaume kuolewa ni uduwanzi
Nipo mkuu!
Chair anakuuliziaaNipo mkuu!
pole sana shos akeee hauna kapicha ka overall hapo nisinzie Vizuri shos angu!??Shougaaaa angu mic u moaaaah, leo nilienda site,
Chezea practical weyeeeeh, nilikua ndani ya overall, sitaki tabuu miee fundi mtambo wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechoka hataree hapa.
Nipo mwenyekiti, nahudhuria vikao sema napita kimya kimya!!Hahahaaa!! Niitie katibu wangu Hustler one pullliiizzzzzzzzzzzzzzz mwambie chair nimemiss sana!!
Nidhamu tu mkuu.😃😃😃😃😃😃 Hela ya kulala inahitaji akili tu, nimefanya hizi kazi za mfumo huu.. ni nzuri sana, ila zimahitaji nidhamu ku grow.. risk ni nyingi sana
😃😃😃😃 Hili ni neno. Kila la kheri mkuu, mambo ya kulambana lambana miguu sio kabisa. Mie nimejikita sana kwenye tech kuliko miradi.. kuna miradi sehemu nilikuwa naipiga chini ila client wamehaha imebidi nimalizie ila hela yote nimeingiza kwenye Techn.. sasa hivi nimekaa kama kolo ila nauona mwanga baada ya miezi sitaNinawaza kuhamishia ofisi nyumbani.
Nimejipa kuwa mwaka huu ni wa mwisho kwenda field na kunyenyekea kazi za watu.
Naachana na kodi ya pango la ofisi, route za town...nikiingia town ni bata tu😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ntakubonda vibaya weeKweli mdogo wangu wanijua mie sinaga mbambambaa,, sidaiwi na sitoki na mume wa mtu
eeeeh so ningetupia tu ![emoji6]