Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣umenimbusha alipoingia ngosha kitini miradi mingi ilisimama..
Hali ilibadilika ndani ya mwaka hadi mtu unaogopa kuingia mjini.
Lakini wanaume walipomjulia mambo yakanyooka balaa
😃😃😃 kuna watu hadi leo chali bado hawaja nyanyuka.. kuna dingi moja lilikuwa kutwa linaenda kula bata Manhattan ... ila mwamba alipukutisha huwezi amini aliuza gari zake zote, hela akamaliza akawa anapiga mzinga hata wa laki moja 😃😃😃 na wapo wengi japo wengine ndio kidogo wanaanza kutoka mavumbini ingawa napo kwa taabu sana
 
Kuna baadhi ya kazi ukiyumba hutakaa unyanyuke daima.
Zitabaki stori mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣umenimbusha alipoingia ngosha kitini miradi mingi ilisimama..
Hali ilibadilika ndani ya mwaka hadi mtu unaogopa kuingia mjini.
Lakini wanaume walipomjulia mambo yakanyooka balaa
Kwenye hii miradi tunatakiwa kuna saving kubwa sana, na vyanzo.mbadala vya kukuingizia kila siku kiasi flani.. ili hata kama ukiwamba huku , unaokolewa na pengine
 
Kuna haja sana pia kuwekeza kidijitali mkuu, huku tuendako ni pazito sana.
Matajiri wanabadilika.
Utajiri wa bidhaa na ujinga ujinga huo unaanza kitupwa na muda.
 
Back
Top Bottom