financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Sawa😀Usinisahau
Sawa😀Usinisahau
Changamka bhaslove you more sweetheart![]()

Wee name umeshindaje leo? Afu hujanionesha nywele bhana.



tufanye kesho shos!Tena nimechelewa mbona!Unalalaje mapema hivi?
@Antonniatufanye kesho shos!
Leo nimetupia hadi kero wigeChangamka bhas
Muda unaenda
Hutupii
Umeenda kuwaje lakini![]()
😃😃 20% kama ya capital ya $ 10,000 ni $ 2000 nzuri sana hii. sema sasa hivi nimejikita sana ku study hizi crude oil ile dude kwa mwezi unaweza ukawa millionea wa mchango kama utananata na beat ,😃😃😃😃 paka sasa hivi kwa sehemu nimeusoma mwendo wake nafanya testing zangu inakubali..Uko sahihi sana...nafikiri std nzuri kwa hii kazi ni 20% ya mtaji.
Hii haihatarishi capital yako.
Nishatupia nyingi sana leo Wige@Antonnia
Mkuu mimi nimeachana na zote zinazoathiriwa na Economic news.😃😃 20% kama ya capital ya $ 10,000 ni $ 2000 nzuri sana hii. sema sasa hivi nimejikita sana ku study hizi crude oil ile dude kwa mwezi unaweza ukawa millionea wa mchango kama utananata na beat ,😃😃😃😃 paka sasa hivi kwa sehemu nimeusoma mwendo wake nafanya testing zangu inakubali..
🙏🙏✌️✌️Madam💕💕
Ahsante sanaaaa
😃😃😃 Unachosema ni kweli, currency hiki kipindi ni pasua kichwa sana. Ila tunaishi nazo hakuna namna .Mkuu mimi nimeachana na zote zinazoathiriwa na Economic news.
Hiyo itakupa kwa muda lakn yakifululiza matukio kama haya ya Rusdia na bahati mbaya yakujie kwa ghafla unaweza kupotea uwanjani mazima.
Volatility na crash na boom yananitosha sana.
Uzuri kupata pesa yako ni ndani ya dakika 10 zimekufikia
Nashukuru mkuu kwako pia😃😃😃 Unachosema ni kweli, currency hiki kipindi ni pasua kichwa sana. Ila tunaishi nazo hakuna namna .
Mkuu usiku mwema. Nikutakie kila la kheri mzee.
Ulisubiri nitoke ndo uweke? Eti eeeh?




muache ntamkomesha mbna. Najua Pa kumkamata.