Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hehehee, watu wanahonga gari za mil 150, unazungumzia Prado ya mil 40, gari hizi wanawake mjini wanahongwa mnooo, utakuwa ni mshamba kama hujui watu wanahonga gari wanawake, hivi vi ist ndio usiseme. acha ushamba mkuu.
hizi story mnazoleta humu majukwaani wengine hatuna mda wa kuzikokota. Tunazibwaga hapa hapa.

Usiseme kuhonga sema kukopesha km sio kuazimisha, unakujua kuhonga wee? Hebu huko. Lol
 
hizi story mnazoleta humu majukwaani wengine hatuna mda wa kuzikokota. Tunazibwaga hapa hapa.

Usiseme kuhonga sema kukopesha km sio kuazimisha, unakujua kuhonga wee? Hebu huko. Lol
Kuhonga kunakuwaje isijekua na mm nachanganya madesa
 
Wanawake wangapi wamefunguliwa miradi ya mamilioni, kama hujawahi kuhongwa usifikiri watu hawahongi, kama unahongwa mwisho vocha ya 1000 hizo ndio level zako mkuu, usifikiri wengine hawahongwi.
Nikihongwa mshedede wake inatoshaaaa, hiyo vocha ya buku mbna atakua amenipendelea sana huyo mtoto wa mama mkwe? Nitamuwekea bango pale TAZARA

Weraaaaaaaaah Weraaaaasaah,
 
Wakati una Mercedes-Benz C200 CGI asikusingizie huyo na murano 😃😃

Post M-alone
Safi kabisa, mtoto yupo kwenye mikono salama, akikachoka unamtupia ka Audi A1 kanamtosha kuendea salon, sio mwanamke anaishi kinyonge, unamfungulia na ka biashara ka mils kadhaa calls za pesa ya saloon zipungue, bado anashangaa unamwachia li nyumba ile bado haelewi nini cha kufanya unamchukua vacation Hawaii/Zanzibar unaenda huko huko ku propose, mmeshaoana honeymoon Dubai akaone dunia, ukiona parefu mrushie Zanzibar hapo napo kuna maeneo sio pa kinyonge.
 
😃😃😃😃😃 Dah! Nimecheka na kuamka kitandani nikasake pesa niwe kama mtu wa kwenye hii pichaaa .. Mtoto mzuri ukimfanyia haya akichepuka huyo haendi mbinguni ni motoni moja kwa moja na kijana shetani
 
😃😃😃😃😃 Dah! Nimecheka na kuamka kitandani nikasake pesa niwe kama mtu wa kwenye hii pichaaa .. Mtoto mzuri ukimfanyia haya akichepuka huyo haendi mbinguni ni motoni moja kwa moja na kijana shetani
Nakuambiaje ukipata manzi unamuelewa honga, vigari hivi vya mil 16-20 (kama uwezo ni within)unashindwaje kumhonga mwanamke unamuelewa, mwanamke wako ni reflected image yako, akiwa vizuri sifa zinarudi kwako, hata kama mtu aje akukute una kanda mbili atakupigia salute, akizingua ni juu yake, atajua mbele ya safari.

Yaani unamwagia daily mishahawa halafu kwenye matunzo ni 0, ni ugaidi.
 
Back
Top Bottom