Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijakataa, wanaume wanaohonga wapo ila ni kama bahati kumpata/kuwapata.

Ila kuna watu wana bahati zao. Na shida mwanamke anaweza pata hiyo bahati na hata asiitumie vizuri kwa manufaa yake mwenyewe.
Mh! kweli?, hata kama sina kitu lazima nihakikishe mahitaji ya kawaida tunasaidiana, hata kama sina pesa ya kununua Passo.
Na hakuna kitu sipendi nione mpenzi wangu ana shida ambazo zipo ndani ya uwezo wangu kuzitatua, sasa hao wanaume wengine sijui watakua wana roho za namna gani, itakuwa hakupendi.
 
Wala asikudanganye dea, ni futuhi tyuuh. Huijui JF wee?Lol.
Sijawahi kumzungumzia nimesoma blogs nyingi, nimesoma posts nyingi sana humu jf, lakini sikuwahi hata kutia comment moja.
Tuachane na hizo habari, tusije vunjiana heshima bure, nazungumza ukweli mtupu, huyo dada mjini Mwanza pale ana saloon ya make up nimefika hapo mara moja, mme wake wa kwanza aliyemuoa alikuwa anajihusisha na madini, wakaachana akafungua saloon ya make up, sijamzungumzia vibaya kivyovyote vile.
 
Mh! kweli?, hata kama sina kitu lazima nihakikishe mahitaji ya kawaida tunasaidiana, hata kama sina pesa ya kununua Passo.
Na hakuna kitu sipendi nione mpenzi wangu ana shida ambazo zipo ndani ya uwezo wangu kuzitatua, sasa hao wanaume wengine sijui watakua wana roho za namna gani, itakuwa hakupendi.
Wanaume wa aina hii wachache au kama unavyosema labda issue ni anakua hajapenda kweli hivyo kuingia gharama kwa ajili ya mwanamke wake anaona shida. Wanaume wengi asa hivi nao wamekua omba omba wanataka kuhudumiwa , hatar sana hii.
 
FB_IMG_1655247857683.jpg
 
Sio kwa andiko aliloleta yeye, kumuingizia dada wa watu asiyehusika, sasa kwan alihonga? Mbna prado aliondoka nayo.

Wanawake wangapi wamefunguliwa miradi ya mamilioni, kama hujawahi kuhongwa usifikiri watu hawahongi, kama unahongwa mwisho vocha ya 1000 hizo ndio level zako mkuu, usifikiri wengine hawahongwi.
 
Wanaume wa aina hii wachache au kama unavyosema labda issue ni anakua hajapenda kweli hivyo kuingia gharama kwa ajili ya mwanamke wake anaona shida. Wanaume wengi asa hivi nao wamekua omba omba wanataka kuhudumiwa , hatar sana hii.
😂, Mifano ninayo mingi, kuna dada namfahamu anasafirisha ngozi za ng'ombe kwenda Japan, jamaa kamnunulia Nissan Xtrail ya kupigia root za hapa na pale, amempangia nyumba kubwa, pesa ya biashara kapatiwa na jamaa kamfundisha hio biashara, watu wanahonga.
 
Back
Top Bottom