Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂, Mifano ninayo mingi, kuna dada namfahamu anasafirisha ngozi za ng'ombe kwenda Japan, jamaa kamnunulia Nissan Xtrail ya kupigia root za hapa na pale, amempangia nyumba kubwa, pesa ya biashara kapatiwa na jamaa kamfundisha hio biashara, watu wanahonga.
Kuhonga mwanamke ( mama, rafiki ) hiyo sawa haipingwi.. na inakuwa sio kuhonga ni ku invest.. Ila ku invest kwa muhuni hatari
 
Back
Top Bottom