Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Mimi siwezi kuomba aisee!!Kuomba kazi sana
Mtu ajiongeze anipe mwenyewe.
Ukiwa na mtu hajui kujiongeza ndio unapambana na hali yako.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi siwezi kuomba aisee!!Kuomba kazi sana
Tunapishana mama ila nipoKabisaaa
Yaani hapahapa hatuonani inakuwaje jmnnn
Bahati mbayaa.Kuna investment zina fail na unakuta return zero![]()
Mumeanza asubuhi asubuhi eehWanawake bana ataomba laki usipompa atakuta hata 1000(buku) kwenye Meza anasepa nayo
SawaHamna sikunyimi rafiki
Nitakuita basi .. si unajua muda mwingine upo busy .
Khaaa!!!Unafanya kazi na mm nafanya kazi unaniomba hela ya nn
Hakuna wrong person na hajawai tokea wrong person 😬😬😬 kuna wrong choiceBahati mbayaa.
Unakuwa uli invest kwa wrong person.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi siwezi kuomba aisee!!
Mtu ajiongeze anipe mwenyewe.
Ukiwa na mtu hajui kujiongeza ndio unapambana na hali yako.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
inakuwaje ☺️☺️Khaaa!!!
Nikupe hela ukamuhonge njemba nyingine huko Nina ushahid
Fresh sana, mambo vipi???inakuwaje![]()
Eh poleNikupe hela ukamuhonge njemba nyingine huko Nina ushahid
Kuna manzi nilikuwa naenda kwake kulala khee Kuna njemba kaipangishia nililala uvunguni mpka asubuh sitasahau

Ungetoka tu mzeeNikupe hela ukamuhonge njemba nyingine huko Nina ushahid
Kuna manzi nilikuwa naenda kwake kulala khee Kuna njemba kaipangishia nililala uvunguni mpka asubuh sitasahau
Haya relaaaaax rubani wetu.Sijawahi kumzungumzia nimesoma blogs nyingi, nimesoma posts nyingi sana humu jf, lakini sikuwahi hata kutia comment moja.
Tuachane na hizo habari, tusije vunjiana heshima bure, nazungumza ukweli mtupu, huyo dada mjini Mwanza pale ana saloon ya make up nimefika hapo mara moja, mme wake wa kwanza aliyemuoa alikuwa anajihusisha na madini, wakaachana akafungua saloon ya make up, sijamzungumzia vibaya kivyovyote vile.

😂 😂Ndiooooooo ndiiiooo!!!
Sikuhizi nimeokokaEh pole
Una matukio wewe![]()
Hivi baadhi ya wanaume kwa nini mnakua na mawazo ya hivi? Eti ukimpa hela atampa mwanaume mwingine Labda uwe hujampenda kweli.Nikupe hela ukamuhonge njemba nyingine huko Nina ushahid
Kuna manzi nilikuwa naenda kwake kulala khee Kuna njemba kaipangishia nililala uvunguni mpka asubuh sitasahau
Ah hongera ... Kwa yesu kuna rahaSikuhizi nimeokoka