Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Yesu nitoe kwenye level ya vocha,loošWanawake wangapi wamefunguliwa miradi ya mamilioni, kama hujawahi kuhongwa usifikiri watu hawahongi, kama unahongwa mwisho vocha ya 1000 hizo ndio level zako mkuu, usifikiri wengine hawahongwi.