Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuambiaje ukipata manzi unamuelewa honga, vigari hivi vya mil 16-20 (kama uwezo ni within)unashindwaje kumhonga mwanamke unamuelewa, mwanamke wako ni reflected image yako, akiwa vizuri sifa zinarudi kwako, hata kama mtu aje akukute una kanda mbili atakupigia salute, akizingua ni juu yake, atajua mbele ya safari.

Yaani unamwagia daily mishahawa halafu kwenye matunzo ni 0, ni ugaidi.
😬😬😬 Haya mambo ya Big boys. Yanafanya vijana tuwe wanyonge kitaa.. tukionewa huruma mrembo anakuletea bills za 5 millions usipotimiza ujiandae kutafuta dawa ya maumivu ya kichwa
 
😬😬😬 Haya mambo ya Big boys. Yanafanya vijana tuwe wanyonge kitaa.. tukionewa huruma mrembo anakuletea bills za 5 millions usipotimiza ujiandae kutafuta dawa ya maumivu ya kichwa
😂😂😂 Haya mkuu, lakini ndio kila mtu anarefusha mkono anapofikia, caring sio kwa big boys, caring is sharing.
Najiandaa kuamka, baadae naingia class. baadae mkuu.
 
😂😂😂 Haya mkuu, lakini ndio kila mtu anarefusha mkono anapofikia, caring sio kwa big boys, caring is sharing.
Najiandaa kuamka, baadae naingia class. baadae mkuu.
Pamoja kaka. Majukumu mema na shule njema.. acha niweke guard hapa naweza onewa huruma
 
Back
Top Bottom