Mimi na wewe tunakuwaga Hadi saa 7, sijui huwa tunatafutaga nini humu [emoji28][emoji28]Mimi mtanisamehe ndio kwanza kumekucha au mtanifungia mlango nikae nje [emoji2][emoji2]
Hahha nimeotea tu dear[emoji16] umejuajeeeee. Mule mule
Ulale eti[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Na kwako piaa[emoji8]Mambo si ndio hayo sasa hakuna kuzubaaaa!! Chumba nishawaandalia kabisa ngoja nijiongeze[emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
Mlale unono wapendwa wangu [emoji3590]
Mama ni hatari, kwa TZ 11 ujikute unazurura na heels utauona moto [emoji2][emoji2] hizi navaa mara chache sana kama nina mtoko na kuna usafir wa kueleweka vinginevyo vinakaaga tu kwene shoe rack. Kanisan navaa zile mid heels ambazo n easy hata kutembea kaumbali ka kishkaji.Heels zinanoga na usafiri private au Kama church na kwenye event hivi .
Sio hivi unaenda sehemu tu uzivae a tu
Utajuta na unaweza usipate seat kwa daladala
Unataka nini mremboTeh teh teh na Mimi niruhusu bhn
Ngoja niiianze hii Kazi. Round ngapi Kwa siku? 50 auJaribu hiyo uone
Uruke kamba zako vizuri upate matokeo mema
Pia zingatia chakula tu mwaya ..
Upweke mama , acha tu. Nakaa alone muda mwingi ikifika night humu ndio kunanipa kampan usiku usogee.Mimi na wewe tunakuwaga Hadi saa 7, sijui huwa tunatafutaga nini humu [emoji28][emoji28]
Mie huwa hatupatani na heelsNapenda heels mno ila sasa mtihani kuzurura nazo,huwa navaa mara chache sana.
Mama ni hatari, kwa TZ 11 ujikute unazurura na heels utauona moto [emoji2][emoji2] hizi navaa mara chache sana kama nina mtoko na kuna usafir wa kueleweka vinginevyo vinakaaga tu kwene shoe rack. Kanisan navaa zile mid heels ambazo n easy hata kutembea kaumbali ka kishkaji.
Sawa dear, will doPale kwenye search bar andika fasting apps au intermittent fasting .
Zitakuja nyingi nashauri usome reviews kwanza kabla kudownload maana app nyingine ads tu zimejaa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Traaaaaako la mwendokasiiii[emoji2230]
Dah!! MbaliTulia hapo hapo mida ya kuanzia saa nane na dakika 22 naweka kitu
Kwa nini [emoji2][emoji2][emoji2]Mie huwa hatupatani na heels
Anzia 30 halafu uongeze taratibu dearNgoja niiianze hii Kazi. Round ngapi Kwa siku? 50 au
Unene mwingine ni tishio la afya [emoji23][emoji119]Mimi niliota kitambi na mashavu jaman [emoji1787] bora nilivyopungua. Nawaza nikipata tena mwili wapi pajaa hata sielew looh
Wacha wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] diet