cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
Teeeenaaaaaaaaah shougaaa ake.haina kusubiri hio sinaga mbambambaa mie Nimenyooka kama rula!!
Teeeenaaaaaaaaah shougaaa ake.haina kusubiri hio sinaga mbambambaa mie Nimenyooka kama rula!!
Sasa mume mpka apatika e leo hiyo, kwanza mzabzab anakupasha pasga wakati mume anasubiriwaNataka mume mie na wewe hutaki kuoa [emoji2][emoji2]
Dah upweke utatuua huu[emoji23][emoji23][emoji119]Upweke mama , acha tu. Nakaa alone muda mwingi ikifika night humu ndio kunanipa kampan usiku usogee.
Nakuruhusu mwananguUniruhusu nitoke humu ndani nikalale
Hapana aisee kwa hivyo vinu vya nuclear huko nyuma, acheni basi, single? mhhUpweke mama , acha tu. Nakaa alone muda mwingi ikifika night humu ndio kunanipa kampan usiku usogee.
Zinavaliwa sana tena atatokelezea balaa ila sasa isiwe mahala pa kutembea muda mrefu.Zigo na heels wapi na wapi?[emoji28][emoji28][emoji28]
Mweee [emoji23]Sasa mume mpka apatika e leo hiyo, kwanza mzabzab anakupasha pasga wakati mume anasubiriwa
Nataka kuona somo limekuingia mwali wangu, hebu shushaa nondo hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wacha Nikalale tu shos!!
Lala mamy kesho nakujibuNdiyo nasikilizia jibu....
Hatareeeeeh sanaaaa.Ndio shosss!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23] yaan unachoshangaa wewe na mimi nashangaa hicho hicho, unakuaje single lakni?Hapana aisee kwa hivyo vinu vya nuclear huko nyuma, acheni basi, single? mhh
Nataka kuona somo limekuingia mwali wangu, hebu shushaa nondo hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah nitavaa sehemu maalumu tuu. Kuna kipindi nilifululiza kuzivaa nikienda class [emoji23][emoji23], lakini Kwa mkoba nna vilapa vya chini. So, nikisimama kwenda kufundisha wanafunzi, navaa vindala vyanguKwa nini [emoji2][emoji2][emoji2]
Ah bado saa nane ndio mida ya wakubwa...ata wezi hawaibagi saa sitacoca umenamsha ujue!! Mtu saa nane yote si aweke saivi tu mida ya wakubwa tayari unakwama wapi mzabzab
Sawaaa mamy [emoji8] nitakupa feedbackAnzia 30 halafu uongeze taratibu dear
Acha uwoga wewe matumizi mabaya ya mbususu hayoMweee [emoji23]
Wee ukihitaji mazoezi ya kupungua njoo kwanguSawaaa mamy [emoji8] nitakupa feedback