Mida yako ya kuleta story tamu tamu kule kwenye maraha au sioMimi mtanisamehe ndio kwanza kumekucha au mtanifungia mlango nikae nje![]()
Mida yako ya kuleta story tamu tamu kule kwenye maraha au sioMimi mtanisamehe ndio kwanza kumekucha au mtanifungia mlango nikae nje![]()
Jaribu hiyo uoneHii kweli, Kuna mtu aliniambia kamba ni nzuri Sana kwa kufanyia mazoezi
Kwa kweli ningekaa hata barazan tuAaah unanijua mimi huwa sitesi mwanake kiasi hicho mwanangu baki tu![]()


Mbona mie sioni hivi vitu.Nimepata msisimuko
Hawa Voda Hawa, itabidi tuwaweke kikaoEendiwoooo kipenzi sema naona voda hawataki unione!!
Muda huu sioHaya
Unapiga na kadress kamoja matata...aisee hatari.
Wa jeinga unawaza dhambi tu ee🤣🤣Mambo si ndio hayo sasa hakuna kuzubaaaa!! Chumba nishawaandalia kabisa ngoja nijiongeze🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Mlale unono wapendwa wangu ❤️
Sio leoMida yako ya kuleta story tamu tamu kule kwenye maraha au sio


Baki mwanangu mzuri hakuna siri😄Kwa kweli ningekaa hata barazan tu![]()
Muda wowoteMuda huu sio
Tena idumu Milele na milele daimaaaaaaIdumu mileleee![]()
Njoo muda huuMuda wowote
Na wewe leta asset yako moja yuithaminishe hapaAsanteeeeeeee 😘😘😘😘✌️
Mguu unasadifu yaliyomoo😘😘😋😋
Najsubiria kwa hamu...part twoSio leo![]()
Kumbe zipo playstore eh? Zaitwaje?Ah naona vinaenda na mwili
Unavyozidi kunenepa na lenyewe hivyo ukipungua
Mazoezi ni kipaji eeh .. mimi mwenyewe mvivu
Kufunga hiyo nzuri sana ,waweza download app za mfungo huko playstore zikakupa mwanga zaidi
Napenda heels mno ila sasa mtihani kuzurura nazo,huwa navaa mara chache sana.Unapiga na kadress kamoja matata...aisee hatari.
Watu wanalalamika eti chai hata hamu ya kuandika inaishaNajsubiria kwa hamu...part two
Lazima hiyooo. Mana hili tumbo ukinenepa tumbo na Tako linakuja na mikono inakujaUkifanikiwa nitag shouga!
