Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama huna muda wa mazoezi
Waweza nunua kamba uruke hii nzuri pia kwa kupungua na pia ufanye diet pia itasaidia kiasi chake .. hakikisha hauli wanga wakati usiku .

Calories burned jumping rope can work out to 15 to 20 calories per minute. The average person could burn 200 calories in a simple 15 minute workout.
Hii kweli, Kuna mtu aliniambia kamba ni nzuri Sana kwa kufanyia mazoezi
 
Nataka nibaki humu
Na queen Sendeka QueenDeby nina kikao naye🤣🤣🤣
Mambo si ndio hayo sasa hakuna kuzubaaaa!! Chumba nishawaandalia kabisa ngoja nijiongeze🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️

Mlale unono wapendwa wangu ❤️
 
Back
Top Bottom