Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,326
Hustler one katibu wangu leo usikatize humu watu wamechachukaa ni hatareee!!
Hawa jamaa wapuuzi...anyways tutayaongea...hapa wacha kwanza tujadili mguu wako na lile trakooWatu wanalalamika eti chai hata hamu ya kuandika inaisha
Safi Sana, nzuri hiyo.Yes mama J
Portabo wana uzuri wao
Na wenye mizigo nao wana uzuri wao.
Kuna kitu mimi napenda kwa ke zaidi ya maumbile yao.
Ke with brain![]()
Anza wewe kisha nami nitatupia tena mie natupia nakeeeeeeeddddddddddddddddddddd kabisaNa wewe leta asset yako moja yuithaminishe hapa
Pale kwenye search bar andika fasting apps au intermittent fasting .Kumbe zipo playstore eh? Zaitwaje?
Mimi niliota kitambi na mashavu jamanLazima hiyooo. Mana hili tumbo ukinenepa tumbo na Tako linakuja na mikono inakuja![]()
bora nilivyopungua. Nawaza nikipata tena mwili wapi patajaa hata sielew loohHata mimi naona kimasihara yako ilikua imenoga sana wengine waliona chaiWatu wanalalamika eti chai hata hamu ya kuandika inaisha
Aisee ngoja kwanza wototo walale then utupie kidu nakeeeddddAnza wewe kisha nami nitatupia tena mie natupia nakeeeeeeeddddddddddddddddddddd kabisa
Hivi nina bahati gani?, vyote vimenipita.Hawa jamaa wapuuzi...anyways tutayaongea...hapa wacha kwanza tujadili mguu wako na lile trakoo
Aaah Kelsea mambo Gani hayo ya kufuta fasta fastaMwee kuna nini, unataka utupie tusikuone![]()

Mule utoto mwingi, wanasababisha watu washindwe kuleta visa vyao wamekazana chai chai wanakera sanaHata mimi naona kimasihara yako ilikua imenoga sana wengine waliona chai
Usikute mzaa baba huyo
Mazoezi haya yanasaidia sit -ups , squats ,push ups ,na planks
Mazoez mengine haya
Kutembea , kukimbia , kuendesha biycle pia na kuogelea nayoo ni mazoezi mazuri kweli
umejuajeeeee. Mule muleAisee silali hadi nikuone.Aisee ngoja kwanza wototo walale then utupie kidu nakeeedddd
Heels zinanoga na usafiri private au Kama church na kwenye event hivi .Napenda heels mno ila sasa mtihani kuzurura nazo,huwa navaa mara chache sana.
Mwee hii pic ya muda humu hata kule juu imoAaah Kelsea mambo Gani hayo ya kufuta fasta fasta![]()

Tulia hapo hapo mida ya kuanzia saa nane na dakika 22 naweka kituAisee silali hadi nikuone.
haina kusubiri hio sinaga mbambambaa mie Nimenyooka kama rula!!Aisee ngoja kwanza wototo walale then utupie kidu nakeeedddd
Teh teh teh na Mimi niruhusu bhn
Nameed lakini tako lionekanehaina kusubiri hio sinaga mbambambaa mie Nimenyooka kama rula!!