Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Kweli kabisa vijana sijui wanakwama wapi na hili swala now limekuwa kama fashionKuchepuka sio dili kabisa ni jambo baya
Kweli kabisa vijana sijui wanakwama wapi na hili swala now limekuwa kama fashionKuchepuka sio dili kabisa ni jambo baya
Vijana akili mbaya, akili zina hama.. kuchepuka kwake inakuwa kawaida tu hofu ya Mungu imepotea .. Maana ukiwa na hofu na Mungu uta hofu kumtenda mwenzako dhambi..Kweli kabisa vijana sijui wanakwama wapi na hili swala now limekuwa kama fashion
We kama sio director wa movie utakuwa photographer international.Siku izi nazikosa sana picha za Antonnia .. hii angesaidia kwa kusimama kidogo tu alafu ipigwe kwa ubavu


goodluckNope; since tunazaliwa, tunakua; we have been raised to become wives. Without marriage we are incompete; it's a life time achievement for us. Our purpose of existence is simply marriage; we have no life apart from it.Sio kwamba wanawake wana abudu ndoa. Tatizo lipo kwenye foundation. Mwanamke ni receiver, Mwanaume ana nafasi kubwa ya kumjenga mwanamke na kummbomoa. Mwanamke kuwa apendavyo mwanaume wake.. inabidi mwaume ajue anahitaji nini kutoka kwa mwenza wake then amjenge sawa sawa na na anavyotaka kamwe hato ona mapungufu kwa mpenzi wake. Shida watu siku hizi wanapenda viliyo undwa, sasa mie niki muunda mwanamke ukikaa nae wiki moja tu utakufa kwa pressure .. maana mtu wangu lazima awe mshari sana na ndio navyo muunda hivyo.. 😃😃😃 sasa huyo nikiachana nae atae kuja kukaa nae lazima aondoe ushari na aweke upole bila hivyo hawezi ishi nae
Sawa.Halafu mwanamke akichepuka anaonekana shetani wakati anachepuka na nyie wenyewe.
Kama kuwa mchepuko bila kujua sawa...lakini Kwa akili zangu timamu siwezi kubali kuwa mchepuko wa mtu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Havai tena kanga moja akajipitisha sebuleni anatingisha, hamjuagi tu tunavyo enjoy vitu adimu hivyo.Hajirembi tena![]()
Divorce is for the strongest. Aisee usifanye utani na divorce, Ile kuchukua tu hatua na kusema enough is enough mmmh; the struggles, the trauma....but in the end it's all worth it.Same to those who divorce their significant other!
Sijataakaa ndoa, na ndoa pia sio lazima ( acording to bible ila kwa baadhi ya watu ) tofautisha kuabudu ndoa na kuishi ndoa katika origin ya ndoa. Origin ya ndoa haina nani mwenye nguvu kuliko mwingine au alie dhaifu kuliko mwingine. Origin ya ndoa ni perfection, katika ya mwanamke na mwanaume. Ukiingia katika imani unapata picha kamili na hauto ona mfumo dume wala foundation ya hivyoNope; since tunazaliwa, tunakua; we have been raised to become wives. Without marriage we are incompete; it's a life time achievement for us. Our purpose of existence is simply marriage; we have no life apart from it.
So lazima uolewe, na hakuna sababu yoyote ya kukutoa ndoani hata kama ni life threatening; ukiondoka tu wewe ni mwanamke mpumbavu uliyevunja ndoa yako. Mfumo dume umetuaminisha hivyo.
Ndiyo maana Leo mwanamke akisema anatoka kwenye ndoa yake kisa mume amezidi michepuko; dunia nzima itamcheka. Kwa sababu ndoa ni ya mwanamke; mwanaume ana uhuru wa kufanya anavyojisikia na mwanamke unatakiwa ukae hapo utulie; umepata heshima kwa kuolewa. Hadi siku umekuwa abused umekufa kwa magonjwa Sugu, vipigo, depression au presha ndiyo tunaanza kupiga kelele na kusema bora marehemu angeondoka.
😊😊😊😊😊😊🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Dah very sad
Ukiongelea upande wa Imani tutakubaliana 100%. Tungefuatisha msingi wa ndoa unavyotutaka tuishi; aisee yote haya yasingekuwepo. Kristo(mume) na Kanisa (mke); tungeishi maisha fulani amazing sana. Too bad huyo Kristo (mume) wa siku hizi mweeeeeeeeeeeeeeeeeh, yupo busy kutegea mke akoseeSijakaa ndoa, tofautisha kuabudu ndoa na kuishi ndoa katika origin ya ndoa. Origin ya ndoa haina nani mwenye nguvu kuliko mwingine au alie dhaifu kuliko mwingine. Origin ya ndoa ni perfection, katika ya mwanamke na mwanaume. Ukiingia katika imani unapata picha kamili na hauto ona mfumo dume wala foundation ya hivyo
Na nyie muwe na akili dogo.. muangalie watu wa ku date naoUkiongelea upande wa Imani tutakubaliana 100%. Tungefuatisha msingi wa ndoa unavyotutaka tuishi; aisee yote haya yasingekuwepo. Kristo(mume) na Kanisa (mke); tungeishi maisha fulani amazing sana. Too bad huyo Kristo (mume) wa siku hizi mweeeeeeeeeeeeeeeeeh, yupo busy kutegea mke akosee
Huwa nakasirishwa sana na watu wano support swala la michepuko nawaona kama sio wazimaVijana akili mbaya, akili zina hama.. kuchepuka kwake inakuwa kawaida tu hofu ya Mungu imepotea .. Maana ukiwa na hofu na Mungu uta hofu kumtenda mwenzako dhambi..
Watu hawajui raha ya njia kuuHuwa nakasirishwa sana na watu wano support swala la michepuko nawaona kama sio wazima
Hapo kwenye hofu ya mungu umesema kweli kabisa


By the way, tafiti mbalimbali zimeonyesha kwamba rate ya kucheat kwa wanaume na wanawake ni karibia zinalingana tu na hakuna wa kumcheka mwenzake. Inaonekana kama wanaume ndo wanacheat sana kwa sababu hufanya mambo yao waziwazi. Wanawake, pengine kutokana na mikatale ya kijamii, mambo yao mengi hufanyika kwa siri kubwa. Ndo maana kuna msemo kwamba mpaka ukamshike mkeo anacheat basi jua tu ama kaamua ujue au kachoka liwalo na liwe!






Mfumo dume ni mfumo wetu pendwa.Nope; since tunazaliwa, tunakua; we have been raised to become wives. Without marriage we are incompete; it's a life time achievement for us. Our purpose of existence is simply marriage; we have no life apart from it.
So lazima uolewe, na hakuna sababu yoyote ya kukutoa ndoani hata kama ni life threatening; ukiondoka tu wewe ni mwanamke mpumbavu uliyevunja ndoa yako. Mfumo dume umetuaminisha hivyo.
Ndiyo maana Leo mwanamke akisema anatoka kwenye ndoa yake kisa mume amezidi michepuko; dunia nzima itamcheka. Kwa sababu ndoa ni ya mwanamke; mwanaume ana uhuru wa kufanya anavyojisikia na mwanamke unatakiwa ukae hapo utulie; umepata heshima kwa kuolewa. Hadi siku umekuwa abused umekufa kwa magonjwa Sugu, vipigo, depression au presha ndiyo tunaanza kupiga kelele na kusema bora marehemu angeondoka.
Na huyo mke mweeeeeeee ni picky huyo,,Ukiongelea upande wa Imani tutakubaliana 100%. Tungefuatisha msingi wa ndoa unavyotutaka tuishi; aisee yote haya yasingekuwepo. Kristo(mume) na Kanisa (mke); tungeishi maisha fulani amazing sana. Too bad huyo Kristo (mume) wa siku hizi mweeeeeeeeeeeeeeeeeh, yupo busy kutegea mke akosee