Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha ni mapito ya maisha tu, na jinsi sisi wanaume tulivyo si ajabu ulishawahi kuwa mchepuko wa mwaaume fulani bila kujua.
Halafu mwanamke akichepuka anaonekana shetani wakati anachepuka na nyie wenyewe.

Kama kuwa mchepuko bila kujua sawa...lakini Kwa akili zangu timamu siwezi kubali kuwa mchepuko wa mtu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mungu awatunze nyie viumbe wachache mnaotoweka kwa kasi😂😂😂😂
wapo wengi tu wasio chepuka na wana kila kitu kinacho wezesha kuchepuka. Ukiona mabaya mengi pia mazuri ni mengi. Kuchepuka ni tatizo la akili zaidi na wala sio tamaa kama wengi mnavyo hisi.. Ukiona mwenza anachepuka inabidi akapimwe akili
 
Wanaume hamjawahi kuwa na sababu ya kueleweka kwene kuchepuka. Mke ndani ya nyumba anaweza kuwa hana shida yoyote lakini mwanaume anatoka nje bado.
Uchepukaji ni tabia ya mtu, japo kuna baadhi ya cases nyie ndio waanzilishi, pia si kila mwanamke ni mchepukaji bali yaweza kuwa chanzo ni mwenzie, hii ni win:win.
 
Wanaume hamjawahi kuwa na sababu ya kueleweka kwene kuchepuka. Mke ndani ya nyumba anaweza kuwa hana shida yoyote lakini mwanaume anatoka nje bado.
eti unakuta sababu, chakula siku hizi ni kibaya. Toa mfano, ingia jikoni pika. Then sema mama watoto eeh waona Leo huu msoc nimeumiss sn mwenzio, kwani siku hzi una nini lakini??. Kiutani tuu
 
Back
Top Bottom