Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kitu kimoja ambacho yoyote yule atakaeiona hii comment anatakiwa akijue ni kwamba, kwa hapa jF tabia(nzuri) ya mtu inatokana na uwezo wa mtu huyo kutunga story au comment zenye kuvutia na uandishi mzuri, mwisho wa siku uhalisia wa maisha yake wanaujua wale wanaomzunguka sio hapa kwenye fake Id's.

Kwa jinsi watu mnavyotema nondo na kujisifia juu ya migogoro ya mahusioano, laiti kama mngeishi hata kwa nusu tu ya mnayosema humu, basi jamii ingekuwa mahali salama sana.

Humu tukitafuta wadada ambao hawajazidisha wanaume watano tangu waanze mahusiano tutawatafuta kwa tochi, ila wapo busy kutoa nasaha juu ya michepuko na mahusiano.

HAYA MAISHA NI KUISHI TU.

Asante sana mkuu.

Nadharia....!
 
Hakuna aliyetunga au kumfurahisha mwenzake,,, kila mtu anasema anachoona ni sahihi hayo mambo ya kusema uishi hicho unachokiongea it's up to the individual,,, wewe Hayakuhusu,, tulia acha watu wapate wanachoona ni sawa kwao,, stop hatin and judging
 
Nadharia nyingi sana kwenye huu mjadala unaoendelea (me na ke kuhusu uchepukaji)

Achaneni na nadharia vijana. Ingieni kwenye practicals muone mambo yalivyo. Sasa mnadonoa donoa tu vinadharia vya feminism hapa na pale. Mara Evolutionary Biology...na frustrations tu na mabezo....mh!

Nendeni kwenye mzizi hasa wa tatizo. Kwa nini wanaume wanacheat? Kwa nini wanaona kama ni sawa tu katika mtazamo wao? Kwa nini ni fatal mistake kwa mwanamke kucheat?

By the way, tafiti mbalimbali zimeonyesha kwamba rate ya kucheat kwa wanaume na wanawake ni karibia zinalingana tu na hakuna wa kumcheka mwenzake. Inaonekana kama wanaume ndo wanacheat sana kwa sababu hufanya mambo yao waziwazi. Wanawake, pengine kutokana na mikatale ya kijamii, mambo yao mengi hufanyika kwa siri kubwa. Ndo maana kuna msemo kwamba mpaka ukamshike mkeo anacheat basi jua tu ama kaamua ujue au kachoka liwalo na liwe!

Panueni wigo wa mjadala na ingieni katika uhalisia zaidi. Mlioko kwenye ndoa toeni real case studies madogo wa nadharia wajifunze zaidi
Wengi hawayaishi wanayosema humu, cha zaidi ni wame-base kwenye nadharia na sio uhalisia kama usemavyo.
 
Kitu kimoja ambacho yoyote yule atakaeiona hii comment anatakiwa akijue ni kwamba, kwa hapa jF tabia(nzuri) ya mtu inatokana na uwezo wa mtu huyo kutunga story au comment zenye kuvutia na uandishi mzuri, mwisho wa siku uhalisia wa maisha yake wanaujua wale wanaomzunguka sio hapa kwenye fake Id's.

Kwa jinsi watu mnavyotema nondo na kujisifia juu ya migogoro ya mahusioano, laiti kama mngeishi hata kwa nusu tu ya mnayosema humu, basi jamii ingekuwa mahali salama sana.

Humu tukitafuta wadada ambao hawajazidisha wanaume watano tangu waanze mahusiano tutawatafuta kwa tochi, ila wapo busy kutoa nasaha juu ya michepuko na mahusiano.

HAYA MAISHA NI KUISHI TU.
Mwisho wa siku "ukweli ni ukweli tu, hata kama tunaupinga na tumegoma kuuishi. Mtu aje atunge story au comment nzuri nzuri, kuna kulipwa humu au? Respect diversity; hatuwezi tukawaza au tukatenda sawa dunia nzima. And no one is claiming perfection here; tunajaribu tu kuangalia ni wapi tunapokosea ili tuparekebishe. Mijadala midogo tu, mnataka muanze kuleta na attacks mweeh. Mwisho wa siku Kila mtu ana choice ya maisha yake anayoishi huko nje na ni kati ya yeye na Mungu wake. Lemme save my energy...
 
Mkuu watano umewapendelea, kwa hesabu za haraka amateur ni kuanzia 12 mpaka 20 hapo, kwa normal unazungumzia 30 mpaka 100 humo, magwiji hapo ni kuanzia 100 mpaka 300 kama spidi ya gari za ujerumani.
 
Hakuna aliyetunga au kumfurahisha mwenzake,,, kila mtu anasema anachoona ni sahihi hayo mambo ya kusema uishi hicho unachokiongea it's up to the individual,,, wewe Hayakuhusu,, tulia acha watu wapate wanachoona ni sawa kwao,, stop hatin and judging
Mbona imekuuma sana mkuu?? Hii bado haiondoi ukweli niliyousema kwamba:-

Kwa hapa Jf tabia ya mtu (iwe nzuri au mbaya) inategemeana na uwezowake mzuri au mbaya wa kuandika mada na comments tofauti na jinsi anavyoonekana huko uraiani kwa wanaomzunguka.

Hii mada mnaijadili kinadharia zaidi bila kangalia uhalisia wa jamii yetu mtaani huko.
 
Ukiongelea upande wa Imani tutakubaliana 100%. Tungefuatisha msingi wa ndoa unavyotutaka tuishi; aisee yote haya yasingekuwepo. Kristo(mume) na Kanisa (mke); tungeishi maisha fulani amazing sana. Too bad huyo Kristo (mume) wa siku hizi mweeeeeeeeeeeeeeeeeh, yupo busy kutegea mke akosee
Huyo si mume ni gaidi.
Mume ni baba, mshauri, mwelekezaji na aliyejaa mapenzi tele
 
Mwisho wa siku "ukweli ni ukweli tu, hata kama tunaupinga na tumegoma kuuishi. Mtu aje atunge story au comment nzuri nzuri, kuna kulipwa humu au? Respect diversity; hatuwezi tukawaza au tukatenda sawa dunia nzima. And no one is claiming perfection here; tunajaribu tu kuangalia ni wapi tunapokosea ili tuparekebishe. Mijadala midogo tu, mnataka muanze kuleta na attacks mweeh. Mwisho wa siku Kila mtu ana choice ya maisha yake anayoishi huko nje na ni kati ya yeye na Mungu wake. Lemme save my energy...
Sidhani kama kuna mtu yoyote aliyetoa hoja kwa lengo la kum-attack mtu, me sijaona popote ila nilicho observe ni low self-esteem miongoni mwa wachangiaji.

Nilichosisitiza nikujadili mada kwa kuangalia mizizi ya hili tatizo kwenye jamii yetu na sio kupoint out jinsia......brabraa wanaume.....ohhh wanawake...ooh wanaume..... unless tuwe tunatafuta mshindi, kitu ambacho siwezi kushiriki.
 
Back
Top Bottom